Yuko wapi mwanahabari Deus Kibamba?

Haya maneno yenu ambianeni wenyewe kwa wenyewe msiwahusishe waumini wengine maana mnagusa sehemu muhimu za watanzania
Maneno yapi?

Waumin wapi weyeee?
 
Soon tutawapata akina Charles Njonjo na
Robert Ouko wetu! Kwenye mgandamizo mkubwa ndipo mashujaa huinukia
Kabisa! Naona uko vizuri kipande hiyo! Ngoja tusubiri tuone japo zama ziko tofauti, hapa itahitajika nguvu kubwa na ya waziwazi kufikia lengo
 
Mkuu! Kuikosoa serikali siku hizi ni jinai!! Akina Bi kijobisimba na Ananilea nkya unawasikia siku hizi? Ole ngurumwa kawa bubu ghafla! Hujiulizi kulikoni? Nape Nnauye aliyekuwa mpigania chama amegeuka adui wa chama! Kisa kukosoa wenye mamlaka
Ananilea Nkya harakati zake si za wanawake wa bara hili.
 
Tatizo unatumia makamasi kutafakari. Hapa hatuzungumzii waislamu bali Kibamba. Amekuwa kimya awamu hii kama vile hayupo. Tatizo lako ni kuongozwa na chuki kuliko ukweli
 
kuna siku nimemsikia anaisapoti govt kwa nguvu ilibaki nusu nivunje tv kwa hasira
 
Tatizo unatumia makamasi kutafakari. Hapa hatuzungumzii waislamu bali Kibamba. Amekuwa kimya awamu hii kama vile hayupo. Tatizo lako ni kuongozwa na chuki kuliko ukweli
Wewe unayetumia Ngama kwanini usithibitishe usemalo?

[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Mara ya mwisho nilimuona kituo cha daladala cha Goigi akisubiri usafiri kwenda mjini wiki iliyopita.
 
Mkuu! Kuikosoa serikali siku hizi ni jinai!! Akina Bi kijobisimba na Ananilea nkya unawasikia siku hizi? Ole ngurumwa kawa bubu ghafla! Hujiulizi kulikoni? Nape Nnauye aliyekuwa mpigania chama amegeuka adui wa chama! Kisa kukosoa wenye mamlaka
Kwa nape usitudanganye, nape toka mwanzo ni mkosoaji Mkubwa au umesahau enzi za mawaziri mizigo?
 
Ameshashiba,hana njaa tena.
 
Chamsingi ujumbe umefika
Aliyekufanya ujue a b c d.... Alifanya hicho nilichofanya, kwa hiyo najua tu, unanijibu kwa utundu ila umeelimika bure kwa kujua kutumia "Hoji" badala ya "oji"
 
Kwa hiyo wote wanaoisoma namba wakati huu ni wa ile deen nyingine?au wanaopiga kelele kwa sasa ni wale wa deen yenu tukufu tu?
Acha fikra potovu
Umejiuliza kinachojadiliwa? Au na wewe unahemkwa tuu?
 
Wewe unayetumia Ngama kwanini usithibitishe usemalo?

[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Bila shaka we utakuwa muanglikana. Zile ndoa zenu zimekuathiri
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…