Yuko wapi mkuu wa kitengo cha propaganda wa CCM - Tambwe Hiza?

Yuko wapi mkuu wa kitengo cha propaganda wa CCM - Tambwe Hiza?

KIM JONG

JF-Expert Member
Joined
Jun 11, 2013
Posts
213
Reaction score
57
Wanajamvi,

Moja ya watu wanaokumbukwa sana kutokana na kutoa lugha kali na pengine za matusi ili kulazimisha hoja alikuwa ni mkuu wa kitengo cha propaganda wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Bwana Richard Tambwe Hiza. Ninamkumbuka sana pale alipokuwa ni mwanachama wa Chama cha Wananchi CUF ambapo aligombea ubunge mara kadhaa katika jimbo la Temeke kupitia tiketi ya chama hicho bila mafanikio.

Ninamkumbuka sana wakati ule akiwa CUF akijitahidi sana kujenga hoja zenye mashiko na zinazovutia ingawa mara zote alizogombea ubunge alishindwa. Naamini mwaka 2005 kama ushindani ungekuwa wa haki na bila uchakachuaji pengine engeweza kutawazwa kuwa mbunge wa kwanza wa CUF kushinda jimbo la Temeke.

Baada ya uchaguzi wa 2005 Tambwe Hiza aliingia kwenye ulingo wa kutunishiana misuli na baadhi ya viongozi ndani ya chama chake na baadaye tukasikia kuwa amerudi CCM. Jambo hilo liliudhi wapenda mageuzi (wapenda mabadiliko na maendeleo) wengi kwani lilitukumbusha usaliti wa aina hiyo ulioishawahi kufanywa na Mwenyekiti wa CCM wa sasa wa mkoa wa Kigoma Dr. Aman Walid Kabourou kwa kuhama chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) na kuhamia CCM. Inaaminika kuwa Dr. Kabourou alikunja kibindoni mwake kitita cha mamilioni ya shilingi kwa usaliti huo! na “damage” aliyoifanya Dr. Kabourou kwa Chadema na wapenda mabadiliko wote nchini ilikuwa kubwa sana hasa tukizingatia ushawishi binafsi aliokuwa nao wakati huo katika mkoa wa Kigoma.

Mara Tambwe Hiza naye akatangaza kurudi CCM… (Sijui naye alikunja ngapi?). Alizungushwa katika majukwaa ya mikutano mbalimbali ya CCM na baadaye akalipwa fadhila ya kupewa cheo ambacho mwanzoni hakikuwepo, yeye pamoja na Bwana Msabaha (aliyetokea CUF pia), cheo kilichokuja kujulikana baadaye kama “Mkuu wa Kitengo cha Propaganda wa Chama cha Mapinduzi (CCM)”.

Hapo ndipo ninapomkumbuka sana kwani kuanzia hapo alipagawa! Alikuwa akitoa maneno makali na hata yenye kashfa kujaribu kukitetea na kukilinda chama chake kipya cha CCM hata pale ambapo haikustahili hata chembe. Alilazimisha sana hoja zake zionekane ni bora ingawa hata kwa mtu wa kawaida kabisa aliona ni pumba tupu. Baadaye akaanza kuporomosha matusi ili kuhalalisha ushabiki wake (ushabiki bandia). Baada ya miezi kadhaa ikadhihirika kuwa haikuwa propaganda bali ni hoza za kutumia nguvu na matusi.

Nilisikia mara ya mwisho kuwa aliugua shinikizo la damu akalazwa hospitali hapa hapa Bongo lakini tokea wakati huo sijamsikia tena. YUPO WAPI TAMBWE HIZA?
 
Nakumbuka lugha zake kali, anazungumza huku anakwangua kamasi puani kwa kidole kidogo
 
Nadhani kaenda china kusomea kutesa na kuua,bila kusahau kurusha mabomu kwenye mikutano vilevile

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
nasikia amekuwa mwalimu wa chekechea kule BUZA~~~~

huyo jamaa alikotwa kule cuf aka chama mdororooo na mzee Makamba a.k.a Role Model wa vijana wa ccm
 
ukimuona alivyopigika utalia , kwisha kazi ! DUNIA HAINA HURUMA - BAHATI BUKUKU .
 
alipokuwa cuf alihaidi kumlala mama yake akirudi ccm,alirudi ccm,sitaki kusema yuko bize akitimiza ahadi yake sababu sina uhakika kama anaitimiza hii nadhiri ngumu.
Nadhani anaendelea kum"DOES" kama alivyoahidi kwa mapovu!
 
Wanajamvi,

Moja ya watu wanaokumbukwa sana kutokana na kutoa lugha kali na pengine za matusi ili kulazimisha hoja alikuwa ni mkuu wa kitengo cha propaganda wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Bwana Richard Tambwe Hiza. Ninamkumbuka sana pale alipokuwa ni mwanachama wa Chama cha Wananchi CUF ambapo aligombea ubunge mara kadhaa katika jimbo la Temeke kupitia tiketi ya chama hicho bila mafanikio.

Ninamkumbuka sana wakati ule akiwa CUF akijitahidi sana kujenga hoja zenye mashiko na zinazovutia ingawa mara zote alizogombea ubunge alishindwa. Naamini mwaka 2005 kama ushindani ungekuwa wa haki na bila uchakachuaji pengine engeweza kutawazwa kuwa mbunge wa kwanza wa CUF kushinda jimbo la Temeke.

Baada ya uchaguzi wa 2005 Tambwe Hiza aliingia kwenye ulingo wa kutunishiana misuli na baadhi ya viongozi ndani ya chama chake na baadaye tukasikia kuwa amerudi CCM. Jambo hilo liliudhi wapenda mageuzi (wapenda mabadiliko na maendeleo) wengi kwani lilitukumbusha usaliti wa aina hiyo ulioishawahi kufanywa na Mwenyekiti wa CCM wa sasa wa mkoa wa Kigoma Dr. Aman Walid Kabourou kwa kuhama chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) na kuhamia CCM. Inaaminika kuwa Dr. Kabourou alikunja kibindoni mwake kitita cha mamilioni ya shilingi kwa usaliti huo! na "damage" aliyoifanya Dr. Kabourou kwa Chadema na wapenda mabadiliko wote nchini ilikuwa kubwa sana hasa tukizingatia ushawishi binafsi aliokuwa nao wakati huo katika mkoa wa Kigoma.

Mara Tambwe Hiza naye akatangaza kurudi CCM… (Sijui naye alikunja ngapi?). Alizungushwa katika majukwaa ya mikutano mbalimbali ya CCM na baadaye akalipwa fadhila ya kupewa cheo ambacho mwanzoni hakikuwepo, yeye pamoja na Bwana Msabaha (aliyetokea CUF pia), cheo kilichokuja kujulikana baadaye kama "Mkuu wa Kitengo cha Propaganda wa Chama cha Mapinduzi (CCM)".

Hapo ndipo ninapomkumbuka sana kwani kuanzia hapo alipagawa! Alikuwa akitoa maneno makali na hata yenye kashfa kujaribu kukitetea na kukilinda chama chake kipya cha CCM hata pale ambapo haikustahili hata chembe. Alilazimisha sana hoja zake zionekane ni bora ingawa hata kwa mtu wa kawaida kabisa aliona ni pumba tupu. Baadaye akaanza kuporomosha matusi ili kuhalalisha ushabiki wake (ushabiki bandia). Baada ya miezi kadhaa ikadhihirika kuwa haikuwa propaganda bali ni hoza za kutumia nguvu na matusi.

Nilisikia mara ya mwisho kuwa aliugua shinikizo la damu akalazwa hospitali hapa hapa Bongo lakini tokea wakati huo sijamsikia tena. YUPO WAPI TAMBWE HIZA?

They had enough of him maana alikuwa anaropoka kama Mwigulu wakaona so.Na pia it was asante Makamba naye kaondoka ulitegemea awepo ? Tambwe si mwana CCM anaganga njaa tu kijana wa mjini .Ukikaa naye ukamuuliza anaweza palea analinda mambo yake tu ni chaka lakini he is never CCM ila sena ndiyo mkono unao mlisha .
 
Condom ikishanunuliwa na kutumiwa inakuwa takataka, so tambwe is, and so will be shonza na mwampamba...
 
km kawaida ya CCM kuchukua kitu kizuri na kukifanya kibao, kuchukua kitu chenye meno halafu wanaking`oa meno , kuchuku apan nzuri na rahisi ya kufanikisha jambo wanaigeuza kuwa ngumu na impossible kabla kuanza ifanya.

Walipomchukua walimgeuza kuwa mjinga, halafu kwa akili ya Makamba Jr. Wakamwekea mipaka kwa ksingizio ch aintelingensia, halafu wakampiga stop ndipo wakamakabishi kazi....MAkamba alipiga live ktk TV..Tambwe hatakiwi kwani ni chukizo mbele ya watanzania kwa usaliti wa CUF ...ndio ikawa hivyo walipokuja amka wakapeleka wasaliti akina mwampamba , na Juliana watoto wa kirugaruga weye fikra nyembanyembamba sana km za mwigulu walioingi amjini na kukutana na mambo makubwa kuliko uwezo wao wa kuweza faliarize na issues za town.
 
...hilo kopo muda wake wa matumizi ulishaisha,uko lilipo sasa(dampo) ndo linakostahili kuwa...hiki ni kizazi cha digitali,tafiti zinazotoa mjawabu na njia ya kutatua matatiza na kufanya mambo yaende vizuri ndo zinihitajika...propaganda,uzushi na upumbavu mwingine unaofanana na huo haunanafasi...
 
Mkuu condom inatumika mara ngapi? Ndio imeshajaa manii hivyooh wameitupa!!
 
Ndio maisha ya siasa hayo. Tushamsahau, kama tukavyowasahau hao akina Shonza. Wantumika kwa muda then wanatupwa kule.
 
Mkuu kwanza umeandika vizuri,Pili umenikumbusha mtu huyo Tatu ni ameisha saulika,Nne ndugu zangu wakina Shonza na mwezie nae watazimika kama huyu jamaa.

Duh! Eeee bhana eee! kumbe usaliti haukuanza jana aisee ! Hata hivyo amevuna alichopanda!
 
Mkuu kwanza umeandika vizuri,Pili umenikumbusha mtu huyo Tatu ni ameisha saulika,Nne ndugu zangu wakina Shonza na mwezie nae watazimika kama huyu jamaa.

wazimike mara ngapi mkuu !!!!?
 
Back
Top Bottom