Yuko wapi mkuu wa kitengo cha propaganda wa CCM - Tambwe Hiza?

Hivi Juliana Shonza na S. Mwampamba bado wanapumua? Sijawasikia siku nyingi. Dhambi ya usaliti itaendelea kuwatafuna!
 
Wanajamvi,

Moja ya watu wanaokumbukwa sana kutokana na kutoa lugha kali na pengine za matusi ili kulazimisha hoja alikuwa ni mkuu wa kitengo cha propaganda wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Bwana Richard Tambwe Hiza. Ninamkumbuka sana pale alipokuwa ni mwanachama wa Chama cha Wananchi CUF ambapo aligombea ubunge mara kadhaa katika jimbo la Temeke kupitia tiketi ya chama hicho bila mafanikio.

Ninamkumbuka sana wakati ule akiwa CUF akijitahidi sana kujenga hoja zenye mashiko na zinazovutia ingawa mara zote alizogombea ubunge alishindwa. Naamini mwaka 2005 kama ushindani ungekuwa wa haki na bila uchakachuaji pengine engeweza kutawazwa kuwa mbunge wa kwanza wa CUF kushinda jimbo la Temeke.

Baada ya uchaguzi wa 2005 Tambwe Hiza aliingia kwenye ulingo wa kutunishiana misuli na baadhi ya viongozi ndani ya chama chake na baadaye tukasikia kuwa amerudi CCM. Jambo hilo liliudhi wapenda mageuzi (wapenda mabadiliko na maendeleo) wengi kwani lilitukumbusha usaliti wa aina hiyo ulioishawahi kufanywa na Mwenyekiti wa CCM wa sasa wa mkoa wa Kigoma Dr. Aman Walid Kabourou kwa kuhama chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) na kuhamia CCM. Inaaminika kuwa Dr. Kabourou alikunja kibindoni mwake kitita cha mamilioni ya shilingi kwa usaliti huo! na “damage” aliyoifanya Dr. Kabourou kwa Chadema na wapenda mabadiliko wote nchini ilikuwa kubwa sana hasa tukizingatia ushawishi binafsi aliokuwa nao wakati huo katika mkoa wa Kigoma.

Mara Tambwe Hiza naye akatangaza kurudi CCM… (Sijui naye alikunja ngapi?). Alizungushwa katika majukwaa ya mikutano mbalimbali ya CCM na baadaye akalipwa fadhila ya kupewa cheo ambacho mwanzoni hakikuwepo, yeye pamoja na Bwana Msabaha (aliyetokea CUF pia), cheo kilichokuja kujulikana baadaye kama “Mkuu wa Kitengo cha Propaganda wa Chama cha Mapinduzi (CCM)”.

Hapo ndipo ninapomkumbuka sana kwani kuanzia hapo alipagawa! Alikuwa akitoa maneno makali na hata yenye kashfa kujaribu kukitetea na kukilinda chama chake kipya cha CCM hata pale ambapo haikustahili hata chembe. Alilazimisha sana hoja zake zionekane ni bora ingawa hata kwa mtu wa kawaida kabisa aliona ni pumba tupu. Baadaye akaanza kuporomosha matusi ili kuhalalisha ushabiki wake (ushabiki bandia). Baada ya miezi kadhaa ikadhihirika kuwa haikuwa propaganda bali ni hoza za kutumia nguvu na matusi.

Nilisikia mara ya mwisho kuwa aliugua shinikizo la damu akalazwa hospitali hapa hapa Bongo lakini tokea wakati huo sijamsikia tena. YUPO WAPI TAMBWE HIZA?

Hakuna haja ya kuumiza vichwa Mkuu! Huko kwenu Mkuu ndomu ikishatumika huwa mnaitumia tena?
 
they had enough of him maana alikuwa anaropoka kama mwigulu wakaona so.na pia it was asante makamba naye kaondoka ulitegemea awepo ? Tambwe si mwana ccm anaganga njaa tu kijana wa mjini .ukikaa naye ukamuuliza anaweza palea analinda mambo yake tu ni chaka lakini he is never ccm ila sena ndiyo mkono unao mlisha .
hakia huo mkono unao mlisha hawezi kuung'ata, katika katuwa za mwanzo za katiba mpya alivisomba vitoto na kuvijaza ktk ukumbi wa karimjee ili vifanye kazi za kuzomea
 
...anauguza mingwengwe... laana ya Watanzania mbaya sana Mkuu...
Wanajamvi,

Moja ya watu wanaokumbukwa sana kutokana na kutoa lugha kali na pengine za matusi ili kulazimisha hoja alikuwa ni mkuu wa kitengo cha propaganda wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Bwana Richard Tambwe Hiza. Ninamkumbuka sana pale alipokuwa ni mwanachama wa Chama cha Wananchi CUF ambapo aligombea ubunge mara kadhaa katika jimbo la Temeke kupitia tiketi ya chama hicho bila mafanikio.

Ninamkumbuka sana wakati ule akiwa CUF akijitahidi sana kujenga hoja zenye mashiko na zinazovutia ingawa mara zote alizogombea ubunge alishindwa. Naamini mwaka 2005 kama ushindani ungekuwa wa haki na bila uchakachuaji pengine engeweza kutawazwa kuwa mbunge wa kwanza wa CUF kushinda jimbo la Temeke.

Baada ya uchaguzi wa 2005 Tambwe Hiza aliingia kwenye ulingo wa kutunishiana misuli na baadhi ya viongozi ndani ya chama chake na baadaye tukasikia kuwa amerudi CCM. Jambo hilo liliudhi wapenda mageuzi (wapenda mabadiliko na maendeleo) wengi kwani lilitukumbusha usaliti wa aina hiyo ulioishawahi kufanywa na Mwenyekiti wa CCM wa sasa wa mkoa wa Kigoma Dr. Aman Walid Kabourou kwa kuhama chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) na kuhamia CCM. Inaaminika kuwa Dr. Kabourou alikunja kibindoni mwake kitita cha mamilioni ya shilingi kwa usaliti huo! na “damage” aliyoifanya Dr. Kabourou kwa Chadema na wapenda mabadiliko wote nchini ilikuwa kubwa sana hasa tukizingatia ushawishi binafsi aliokuwa nao wakati huo katika mkoa wa Kigoma.

Mara Tambwe Hiza naye akatangaza kurudi CCM… (Sijui naye alikunja ngapi?). Alizungushwa katika majukwaa ya mikutano mbalimbali ya CCM na baadaye akalipwa fadhila ya kupewa cheo ambacho mwanzoni hakikuwepo, yeye pamoja na Bwana Msabaha (aliyetokea CUF pia), cheo kilichokuja kujulikana baadaye kama “Mkuu wa Kitengo cha Propaganda wa Chama cha Mapinduzi (CCM)”.

Hapo ndipo ninapomkumbuka sana kwani kuanzia hapo alipagawa! Alikuwa akitoa maneno makali na hata yenye kashfa kujaribu kukitetea na kukilinda chama chake kipya cha CCM hata pale ambapo haikustahili hata chembe. Alilazimisha sana hoja zake zionekane ni bora ingawa hata kwa mtu wa kawaida kabisa aliona ni pumba tupu. Baadaye akaanza kuporomosha matusi ili kuhalalisha ushabiki wake (ushabiki bandia). Baada ya miezi kadhaa ikadhihirika kuwa haikuwa propaganda bali ni hoza za kutumia nguvu na matusi.

Nilisikia mara ya mwisho kuwa aliugua shinikizo la damu akalazwa hospitali hapa hapa Bongo lakini tokea wakati huo sijamsikia tena. YUPO WAPI TAMBWE HIZA?
 
....Tambwe Hizzzza! Umenikumbusha mbali!
Ila pia siwasikiii 1.Yusuf Makamba, 2. Rostam l'Azizi, 3. Benno Malisa, 4. Mukama, 5. Jairo, 6. Ramadhani Mapuri... orodha ni ndefu kwa kweli. Watu hawa "walitawala" vichwa vya habari enzi zao!
Kuna ka mtindo hapa Nchini kuwa mtu AKIWA NJE ya DIRA (focal point) ya vyombo vya habari...ANAPOTEA kama vile hajawahi kuwapo kabisa duniani!
 
alipokuwa cuf alihaidi kumlala mama yake akirudi ccm,alirudi ccm,sitaki kusema yuko bize akitimiza ahadi yake sababu sina uhakika kama anaitimiza hii nadhiri ngumu.

Duh viapo vingine ni kujitafutia laana tu.Ila huyu jamaa ni mnafiki sana.Siasa mchezo mchafu sana huyu ----- ccm wamemtumia sasa wamemchoka kama Uganda la muwa wa mtib
 
alipokuwa cuf alihaidi kumlala mama yake akirudi ccm,alirudi ccm,sitaki kusema yuko bize akitimiza ahadi yake sababu sina uhakika kama anaitimiza hii nadhiri ngumu.

Duh viapo vingine ni kujitafutia laana tu.Ila huyu jamaa ni mnafiki sana.Siasa mchezo mchafu sana huyu ----- ccm wamemtumia sasa wamemchoka kama ganda la muwa wa mtibwa!
 
alipokuwa cuf alihaidi kumlala mama yake akirudi ccm,alirudi ccm,sitaki kusema yuko bize akitimiza ahadi yake sababu sina uhakika kama anaitimiza hii nadhiri ngumu.

ni kweli yupo bize ana enjoy ngono na mama yake mzazi kama alivyokuwa ameahidi kuwa akirudi c.c.m basi atagonoka na mama yake kingono kwahy karejea c.c.m yupo bize akigonoka kutekeleza nadhiri yake,.
 
Mkuu kwanza umeandika vizuri,Pili umenikumbusha mtu huyo Tatu ni ameisha saulika,Nne ndugu zangu wakina Shonza na mwezie nae watazimika kama huyu jamaa.

washazimika, leo nani anamjua mwampamba? inaweza ikapita hata mwezi shonza hasitajwe humu ndani au kama akitajwa ni kwa tabia yake ile ya kuwa kiburudisho katika misafara ya wakubwa ndani ya chama.
 
Wanajamvi,

Moja ya watu wanaokumbukwa sana kutokana na kutoa lugha kali na pengine za matusi ili kulazimisha hoja alikuwa ni mkuu wa kitengo cha propaganda wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Bwana Richard Tambwe Hiza. Ninamkumbuka sana pale alipokuwa ni mwanachama wa Chama cha Wananchi CUF ambapo aligombea ubunge mara kadhaa katika jimbo la Temeke kupitia tiketi ya chama hicho bila mafanikio.

Ninamkumbuka sana wakati ule akiwa CUF akijitahidi sana kujenga hoja zenye mashiko na zinazovutia ingawa mara zote alizogombea ubunge alishindwa. Naamini mwaka 2005 kama ushindani ungekuwa wa haki na bila uchakachuaji pengine engeweza kutawazwa kuwa mbunge wa kwanza wa CUF kushinda jimbo la Temeke.

Baada ya uchaguzi wa 2005 Tambwe Hiza aliingia kwenye ulingo wa kutunishiana misuli na baadhi ya viongozi ndani ya chama chake na baadaye tukasikia kuwa amerudi CCM. Jambo hilo liliudhi wapenda mageuzi (wapenda mabadiliko na maendeleo) wengi kwani lilitukumbusha usaliti wa aina hiyo ulioishawahi kufanywa na Mwenyekiti wa CCM wa sasa wa mkoa wa Kigoma Dr. Aman Walid Kabourou kwa kuhama chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) na kuhamia CCM. Inaaminika kuwa Dr. Kabourou alikunja kibindoni mwake kitita cha mamilioni ya shilingi kwa usaliti huo! na “damage” aliyoifanya Dr. Kabourou kwa Chadema na wapenda mabadiliko wote nchini ilikuwa kubwa sana hasa tukizingatia ushawishi binafsi aliokuwa nao wakati huo katika mkoa wa Kigoma.

Mara Tambwe Hiza naye akatangaza kurudi CCM… (Sijui naye alikunja ngapi?). Alizungushwa katika majukwaa ya mikutano mbalimbali ya CCM na baadaye akalipwa fadhila ya kupewa cheo ambacho mwanzoni hakikuwepo, yeye pamoja na Bwana Msabaha (aliyetokea CUF pia), cheo kilichokuja kujulikana baadaye kama “Mkuu wa Kitengo cha Propaganda wa Chama cha Mapinduzi (CCM)”.

Hapo ndipo ninapomkumbuka sana kwani kuanzia hapo alipagawa! Alikuwa akitoa maneno makali na hata yenye kashfa kujaribu kukitetea na kukilinda chama chake kipya cha CCM hata pale ambapo haikustahili hata chembe. Alilazimisha sana hoja zake zionekane ni bora ingawa hata kwa mtu wa kawaida kabisa aliona ni pumba tupu. Baadaye akaanza kuporomosha matusi ili kuhalalisha ushabiki wake (ushabiki bandia). Baada ya miezi kadhaa ikadhihirika kuwa haikuwa propaganda bali ni hoza za kutumia nguvu na matusi.

Nilisikia mara ya mwisho kuwa aliugua shinikizo la damu akalazwa hospitali hapa hapa Bongo lakini tokea wakati huo sijamsikia tena. YUPO WAPI TAMBWE HIZA?

Umenikumbusha mbali mwanajamvi, hasa hasa Dr Kabourou. Huyu Dr Kabourou ni ndugu na Bw Maranda ambaye anatumikia kifungo kutokana na wizi wa EPA. Kwa vile EPA ulikuwa ni mpango mzima wa CCM, Bw Rajabu Maranda ambaye alikuwa katibu (UCHUMI) wa CCM mkoani Kigoma alipewa kazi ya kuhakikisha Dr Kabourou anarejea CCM na kuachia jimbo. Dr Kabourou aliahidiwa angepewa ubunge wa Afrika Mashariki, na ndivyo ilivyokuwa. Dr. Kaborou alilipwa sh 147 millioni ili kufanikisha jambo hilo. Kama Dr Kabourou anabisha aje jambini nimuonyeshe na jinsi alivyolipwa, wapi na nani. Maskini Maranda ambaye baada ya kumtumia CCm walimkana, lakini Dr Kabourou kila kesi ya Maranda ilipokuwa inasikilizwa alikuwa anafika mahakamani Kisutu. Sasa sijui yaliyompata Tamwe Hiza ni yepi?
 
Hivi kweli huyu binadamu aliyekuwa na nguvu kuliko hata Spika wa bunge Eliakim Simpassa yuko wapi siku hizi??? Huyu aligeuza bunge likawa mahakama ya kuhoji waandishi na raia akitishia kuwafunga, yuko wapi jamani Simpassa wetu mtukuka?
 
hiyo ndiyo fadhila ya msaliti kwani kwa sasa hana tena maana ccm yote aliyoyafanya ni kazi bure bora angevumilia tu cuf sasa hivi angekuwa yupo katika hali nzuri sana kisiasa lakini kwa sababu alikosa uvumilivu basi hiyo dhambi hadi leo inaendelea kumtafuna
 
Mkuu kwanza umeandika vizuri,Pili umenikumbusha mtu huyo Tatu ni ameisha saulika,Nne ndugu zangu wakina Shonza na mwezie nae watazimika kama huyu jamaa.

Mimi niliwaona mara ya mwisho walipozomewa pale Nkrumah Hall 2010 pamoja na PRINCE BAGENDA manufaa yao kwa Chama yalishakwisha. Hawana mvuto tena. Kwa ujumla muda wa propaganda haupo tena.
 
Last Time Makamba alipomwona akitaka panda Jukwaani karibu mzee apelekwe ICU.Km alivyojua mzee Hiza kila jukwa analopanda huishia kuongea km kakatwa kichwa.Huanza lazimisha asichokijua km mizee ya CCM inayozomewa kil mahala.Nadhani CCM wamemgeuza kuwa mradi wa kuzalisha wese la kutengenezea sabuni.Kafura km kahasiwa vile.
 
Back
Top Bottom