Yuko wapi mhe. Samwel Sitta mbona kimya sana

Mbona mnampa hukumu kali mzee wa viwango?

kwa kawaida marehemu hupewa sifa hata kama alikuwa na matendo mabaya wakati wa uhai wake ILA SITTA atakosa hata hizo sifa ikitokea amemarehemuka

jinga sana hili zee 6
 
Sitta amechezea bahati ya heshima aliyoijenga kwa kipindi kirefu.

Kabla ya sakata la Katiba jamii angalau ilikuwa ikimtaja kama mtu atakayeleta changamoto wakati wa kumtafuta mgombea urais ndani ya CCM, siku hizi hata wanaCCM wenyewe wanaona aibu kumtaja.


PIGA KURA YA HAPANA KWA KATIBA PENDEKEZWA
 
Tarehe 25 March 2014 , kutoka hapa
https://www.jamiiforums.com/great-thinkers/627655-kwa-lipi-na-kwanini-samwel-j-sitta-aaminiwe.html





 
Mpaka anatukana viongozi wa dini kwa ulevi wake wa madaraka unadhani atabaki kwenye ramani tena? Haiwezekani. Kajizika mwenyewe hakuna anayemtaka tena hata familia yake inamchukia
 
Alilikoroga. Anajitahidi asilinywe. Na lazima alinywe.
Laana ya kuwasaliti waTanzania, inamtafuna.
Kutubu dhambi ya kuwasaliti waTanzania, anaona soni. Kutotubu kunaitafuna nafsi yake.
Waliomtumaa wanamkebehi, wanamdhihaki na kumu'onga.
Ametahayari. Anaugulia maumivu yanayompeleka kwa rafiki yake shetani.
 
Yupo ndan ya adhabu ya chama chake.
 
Anadaiwa hela za wajumbe wa UKAWA waliosusia bunge,aongee aone kitakachompata
 
Ilibidi Iwe hivyo Ili mpango wa Mungu utimie........ Hamuoni s's imekuwa faida kwa wazalendo wa kweli,URAMBO hiyo taratibu inaenda UKAWA.
 
ni kweli wakuu huyu mzee anavyoonekana kwa sasa ni kama kuna kitu kina mtafuna kimya kimya,na walimtumia watakavyo na yy akajisahau kuwa ana bifu,acha AVUNE ALICHOPANDA.
 
Tangu kipindi cha mchakato wa katiba mpya ulipoisha pale Bungeni Dodoma mhe.Samwe Sitta amekuwa kimya sana yuko wapi?.Iko wapi ile nguvu aliyoionyesha mh huyu pale Bungeni kwenye ule mchakato wa katiba mpya uliozaa Katiba FAKE (pendekezwa)?

Bado anatunga sheria
 

Hata mwadishi atakaekwenda kutafuta habari kwake atauza wapi , labda ziwe za kashfa kama ya Juma Kapuya hapo tutamsikia tena kwa kishindo.
 
Sitta a political Cheshire cat
mysteriously disappears leaving only
his mischievous grin-katiba feki. Sitta, Sitta where are you?
 
Such creatures last temporarily because the soul is already condemned.The body is no more cooperating with the soul
 
Mpaka anatukana viongozi wa dini kwa ulevi wake wa madaraka unadhani atabaki kwenye ramani tena? Haiwezekani. Kajizika mwenyewe hakuna anayemtaka tena hata familia yake inamchukia

unajua bhana baada ya muda fulani tangu mtu alaaniwe ile LAANA ALIYOPEWA HUGEUKA KICHAA ! Tusubiri tu mengi yanakuja .
 
Huyu mzee 6 alinichekesha sana siku moja alipokuja Denmark kikazi akakutana na wabongo baada ya mazungumzo akatuomba huku akitaka kulia akisema vijana wangu hamuwezi kuniacha hivi hivi nilale kizembe na hili pupwe fanyeni mpango mnitafutie kabint kakizungu nikagegede. Watu chapu tukamletea jamaa alifurahi huyo. Siksi je unakumbuka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…