Prezidah
JF-Expert Member
- Feb 1, 2013
- 750
- 182
View attachment 219533
Hakujua kuwa pale alikuwa anatolewa kafara yeye akadhani CCM wanania njema na yeye. Sifa zimemponza.
Hahahahahaa nimelike hiyo photo
View attachment 219533
Hakujua kuwa pale alikuwa anatolewa kafara yeye akadhani CCM wanania njema na yeye. Sifa zimemponza.
anatafakari katiba mpya.
Rahana = laanaAnaugulia rahana ya viongozi wadini aliowaita wanafiq, anashangaa jinsi njia ya kwenda magogoni ilivyozibwa na kujaa misumali ya moto
Fisadi lowasa bado anashineWadau nawauliza wapi naweza kumpata, kumouna na kupata yaliyomo moyoni mwake mzee wa Viwango Mzee Samwel Sita aliyekuwa Spika wa Bunge la Tisa.Tangu atoswe kugombea Urais wa Jamhuri mwaka 2015 hajatokea hadharani kutoa maoni juu ya mchakato wa uteuzi pia maoni yake juu ya mzee wa Pushup?Amezila au amekimbilia Kenya.Samwel Sita njoo, toa neno tukisikie.
Huogopi jela?hilohilo neno mwanasheria mkuu wa chama lime most,au kwa huyu 6 halina madhara?maskini huyu mzee alikuwa dikteta UCHWARA