tamimusalim
JF-Expert Member
- Jun 17, 2014
- 1,822
- 499
Anakula mpunga wake kutoka kwa watanzania wajinga
Huyu mzee 6 alinichekesha sana siku moja alipokuja Denmark kikazi akakutana na wabongo baada ya mazungumzo akatuomba huku akitaka kulia akisema vijana wangu hamuwezi kuniacha hivi hivi nilale kizembe na hili pupwe fanyeni mpango mnitafutie kabint kakizungu nikagegede. Watu chapu tukamletea jamaa alifurahi huyo. Siksi je unakumbuka

Tangu kipindi cha mchakato wa katiba mpya ulipoisha pale Bungeni Dodoma mhe.Samwe Sitta amekuwa kimya sana yuko wapi?.Iko wapi ile nguvu aliyoionyesha mh huyu pale Bungeni kwenye ule mchakato wa katiba mpya uliozaa Katiba FAKE (pendekezwa)?
Lazima Sitta akae kimya kwa sasa, kabla hajafa.
Maana anajionea mwenyewe ujinga wa katiba feki aliyoitengeneza na kina Chenge.Kaitengeneza katiba akishirikiana na wezi wa Escrow, kwa kuweka vipengere vitakavyo walinda hata wakiiba na kufisadi.Historia itamhukumu kama mmoja wa wezi wa haki za wananchi kudhibiti uongozi ulio madarakani.
Ila ni mgonjwa.uzur wa mzee wa monduli hana tatizo na si masikini
Kwa hiyo Sitta cannot be a Saint in the company of villains, ukichunguza sana si ajabu naye kapitiwa na escrow!Hivi haimuumi kuwa wezi wenzie alioandika nao KATIBA .........! wamepiga tena hela ndefu ya ESCROW?
Bado anaugulia machungu ya kuiharibu cv yake kizembe akidhani anaisadia ccm kumbe mtego wa kummaliza kwa kusimamia undwaji katiba feki na ya aibu.
Sasa hivi anatembea na aibu juu ya mwili wake, kachafuka na kapoteza ujasili wa majivuno ya speed & standard
Sita aliingizwa mjini na mafisadi akina chenge wakamtanguliza mbele kuisigina katiba mpya.akajiona kidume kumbe anajimaliza na huku akiwasafishia njia mafisadi akina chenge na lowasa
Ila ni mgonjwa.
Katika watu ambao ni wajinga duniani hata ahera watakuwa hivyo tu ni Samwel sixSanabu za utumwa wa fikra