Yuko wapi mhe. Samwel Sitta mbona kimya sana

Yuko wapi mhe. Samwel Sitta mbona kimya sana

Mbona mnampa hukumu kali mzee wa viwango?

kwa kawaida marehemu hupewa sifa hata kama alikuwa na matendo mabaya wakati wa uhai wake ILA SITTA atakosa hata hizo sifa ikitokea amemarehemuka

jinga sana hili zee 6
 
Sitta amechezea bahati ya heshima aliyoijenga kwa kipindi kirefu.

Kabla ya sakata la Katiba jamii angalau ilikuwa ikimtaja kama mtu atakayeleta changamoto wakati wa kumtafuta mgombea urais ndani ya CCM, siku hizi hata wanaCCM wenyewe wanaona aibu kumtaja.


PIGA KURA YA HAPANA KWA KATIBA PENDEKEZWA
 
Tarehe 25 March 2014 , kutoka hapa
https://www.jamiiforums.com/great-thinkers/627655-kwa-lipi-na-kwanini-samwel-j-sitta-aaminiwe.html
SEHEMU YA V
SITTA NA KUHANGAIKA, SAFARI YA KISIASA IMEKWISHA
Tunafahamu mhSitta alikuwa mwaanzilishi wa chama cha jamii (CCJ) baada baada yakukorofishana na wenzake wa mtandao.Alipoozwa baada kuchaghuliwa kuwa waziri wa ushirikianowa EAC.

Nafasi hiyo kapwaya,kumekuwa na matatizo yasiyo na majibu kutokana na uwakilishi hovyo wa Sitta naasivyoweza kutetea masilahi ya taifa.

Sitta kamawaziri husika,amekurupuka ima katika majibu yake au ufafanuzi.Ndani ya EACamekuwa akisisitiza demokrasia itumike si kwa wingi bali kwa hoja.

Inasangaza daniya BMLK demokrasia hiyo ameshindwa kuitumia.
Amekubali iwepokura ya wazi na siri na kumwalika JK kumshambulia na kumdhalilisha Warioba.

Jitihada zakeni kuhakikisha anatimiza matakwa ya CCM ili aonekane mtu a kusimamia maamuziikiwemo mbinu za CCM za kila siku za kulaghai umma.

Sittaanachosahau, ndani ya CCM ana makovu makubwa kutokana na majereha aliyosababishakwa akiwa Spika wa bunge hilo 2005-2010

1. Kundi lamtandao lenye mgombea wao anayepita makanisani na misikitini kwa udi na uvumba
2. Kundilinalomuona mtu aliyezuia jitihada za CCM kujisafisha kwa kufukia machafu akiwaSpika
3. Kundilinalomwona mnafiki, asiyeaminika na mwenye tabia za undumikuwili kamatunazoshuhudia

Katika bungelinaloendelea wapo wanaCCM wanaotaka ipatikane katiba ya wananchi kwa ajili yanchi.Kundi hilo sasa limezimwa kwa kura ya wazi itakayolilazimisha lifanyehivyo kinyume na matakwa yao.

Ni kundi kubwalinalomuona Sitta kama kinara wa usaliti dhidi ya nchi na haliwezi kusimamanaye siku za baadaye.

Sitta amebakina kundi la wananchi lililompa heshima likidhani katika suala nyeti kama katibaangeweza kurekebisha mapungufu yake ya siku za nyuma.
Hili nalo sasalimeshawishika kuhusu unafiki na undumila kuwili wa Sitta.

Hivyo Sittaameondoa uwezekano wa kuchaguliwa kubeba bendera ya chama kwa kutibua sehemumuhimu na nyeti zinazoweza kumpa fursa hiyo.
A
mepoteza heshima mbele ya jamii inayofuatilia bunge Dodoma kwa sasa.

CCM itatumiaudhaifu kuonyesha amepoteza mvuto na ushawishi katika jamiiHiyo itakuwanjia rahisi kumweka pembeni

Sittaamehitimisha safari yake ya kisiasa.
Sittahakubaliki tena ndani ya chama, kwa wananchi walioko upinzani waliompa benefitof doubt na jamii nzima.

Upo uwezekano Sittaamekata tamaa . Anachokifanya ni kumaliziamuda wa kisiasa, hana cha kupoteza tena.

Laitiangelikuwa ana hofu na jambo lingine la badaye, Sitta asingeweza kusimamamadudu na ujuha unaoendelea Dodoma.

Katika kutafutajambo la kustaafu mh Sitta ameamua nafasi ya Uspika iwe ndiyo ya mwisho katikalegacy yake.

Tatizolinaloonekana wazi ni bunge analoongoza lisimalizike kutokana na halialiyojenga Sitta.

Wabungewatavutana na mwisho wa siku ni kuvunjika kwa bunge.
Sitta atabakina wana CCM wenzake , maadui na mahasimu wake ndani ya CCM watatumia nafasihiyo kummaliza kabisa.

Ndiyo maanatunasema Sitta hawezi kugombea tena nafasi katika nchi hii.
Amejimaliza kisiasana atamalizwa muda si mrefu.

Kutokana namadudu yanayoendelea Dodoma chini ya usimamizi hafifu na hovyo wa Sittausiozingatia utaifa au demokrasia leo Sitta akisimamishwa na Lowassa, Lowasaatamshinda licha ya makando kando ya ufisadi.

Hakuna jambolinalowatia wananchi maudhi kama utoto anaoendesha Sitta na jinsi alivyoamuakuwadharau wananchi.

Sittaanaonekana kinara wa mpango wa kumdhalilisha Warioba, Salim, Butiku, AugustinoRamadhani, prof Baregu, Prof Palamagamba na wasomi wengine.

Hili linamwekaSitta katika nafasi mbaya. Hiyo haimaanishi EL ni mwema au ufisadi wake nibora, kinachotokea ni kura ya chuki, kwamba huyu ni fisadi na mwingine nimnafiki. Watalazimika kuchagua katia ya mashetani wawili 'between the twodevils' na hapo Sitta hana lake.

Tumalizie kwakusema nia ya bandiko hili ni kuwaondoawananchi hofu waliokuwa nayo kwa Sitta.

Huko nyumatuliwaonya wapinzani dhidi ya mtu huyu.
Ni mara nyingitumeongelea kuhusu unafikia na undumila kuwili wake.

Tunashangaawananchi wanapolalamila sasa hivi.
Huyo ndiyeSamwel JohN Sitta, mzee mwenye sura mbili akijificha katika ngozi ya kondoo.

Tusemezane
Sehemu IV

BUNGE LA KATIBA LITAVUNJIKA, SITTA ATAHITIMISHA SAFARI YA KISIASA
Bunge la katiba lina mvutano wa mudakuanzia mchakato hadi lilipofikia.
Kuna uvumilivu kwa mwanadamu na kipo kiwango.

Wapenda mabadiliko wamevumilia mengi ikiwemo la Sitta kubadilisha kanunikwasababu ana 'busara sana' kuliko kamati zailizoandika kanuni hizo.

Chuki zilianza siku za nyuma, zikahamania bunge la katiba katika kanuni.
JK analaumiwa kwa hotuba ya kumfedhehesha Warioba. Hata kama yalikuwa maagizoyake, bado mzigo wa kukiuka kanuni na kuwasaliti wananchi upo begani kwa Sitta.
Lau angewasikiliza wanakamati wenzake leo asingekuwa anazungumziwa.

Sitta akaamua, kwanza kuitukana kamati iliyoandaa kanuni kwa kitendo cha kusema'Yeye anabusara na ndizo zinamuongoza' tafsiri ya kwamba kamati haikuwa nabusara katika maamuzi.

Pili, mzigo wa dhalili ya tume Warioba ni matokeo ya Samwel Sitta kupindishataratibu

Tatu,kuunda kamati za CCM utakaopelekea machakato ni matokeo ya Sittakuendekeza UCCM katika mambo ya kitaifa.

Wakati mswada wa kwanza unatolewa, Samwel Sitta alipangwa Zanzibar.
Huko alikumbana na nguvu ya wananchi kwa kuchoma mswada mbele kukiwa na vurugukubwa.


Wananchi wa znz walimheshimu Sitta japo kwa kumsikiliza.
Ingekuwa akina Nap moto ungewaka zaidi.

Sitta akarudi kwa JK na kumshauri suala la muungano lijadiliwe kama masualamengine.


Ni kwa kuona busara hizo na bila kumjua Sitta, wazanzibar walioko Dodomawakampa uenyekiti

Huyu ni ndumila kuwili sasa anatumia upande wa pili kashughulikia wzn kamaalivyo ahidi

Sitta kaweka wazi msimamo wa serikali 2 na kwamba muungano ni lazima.
Huu ni ujumbe maridhawa kwa wazanzibar, yale matumaini kuhusu malalamikoyanafikia hatima

Sitta keshasema atawashughulikia na salama ya wazanzibar ni ukimya.
Kama hiyo ndiyo njia waliyoamua, basi tunawatakia heri wznz na Sitta.

Mbele ya safari ni kweusi. Kama wapenda mabadiliko na nchi kwanza wataamua kwadhati kusimama kidete wakiamini nchi na wananchi kwanza, hakuna sababu zakuwepo Dodoma.

Wananchi watawaelewa pale watakapoondoka Dodoma na kuzunguka nchi nzimawakieleza uhuni unaoendelea Dodoma chini ya uratibu na usaliti wa mzee wetuSitta

CCM wataandika katiba, wakimaliza wananchi watakuwa wanaelewa nini kinatokea.
Tunakumbuka bajeti iliyoongeza bei za mafuta ya taa ilivyopingwa na wabunge waupinzani chini ya Sitta. Ilimlazimu Spika atoe mawaziri bungeni kwenda kuelezauzuri wa bajeti ambako walikumbana na mawe na kila rabsha.

Wananchi wanafuatilia kwa umakini nini kinaendelea Dodoma. Kama lipo jambowanalosubiri ni kusikia bunge maalumu la katiba la CCM na Samwel Sittalinafikia tamati haraka.

Sitta, kwa kujitoa 'mhanga' anakabiliwa na mambo mawili
1. Hasira za wabunge wa upinzani
2. Hasira za wazanzibar
3. Hasira za Watanganyika
4. Hasira za kamati ya kanuni
5. Hasira za umma dhidi ya dhalili kwa maoni yao kupitia Warioba.

Ingawa Sitta haonekani kujali kwa kuangalia masilahi yake 2015, bunge hili lakatiba litahitimisha safari yake ya kisiasa. Hadi sasa hivi umma unafahamu kamamsaliti wao na mtu anayeweza kutumika kama karatasi za maliwato, baada ya hapohakuna thamani.

Itaendelea sehemu ya mwisho.....





 
Mpaka anatukana viongozi wa dini kwa ulevi wake wa madaraka unadhani atabaki kwenye ramani tena? Haiwezekani. Kajizika mwenyewe hakuna anayemtaka tena hata familia yake inamchukia
 
Alilikoroga. Anajitahidi asilinywe. Na lazima alinywe.
Laana ya kuwasaliti waTanzania, inamtafuna.
Kutubu dhambi ya kuwasaliti waTanzania, anaona soni. Kutotubu kunaitafuna nafsi yake.
Waliomtumaa wanamkebehi, wanamdhihaki na kumu'onga.
Ametahayari. Anaugulia maumivu yanayompeleka kwa rafiki yake shetani.
 
Anadaiwa hela za wajumbe wa UKAWA waliosusia bunge,aongee aone kitakachompata
 
Ilibidi Iwe hivyo Ili mpango wa Mungu utimie........ Hamuoni s's imekuwa faida kwa wazalendo wa kweli,URAMBO hiyo taratibu inaenda UKAWA.
 
ni kweli wakuu huyu mzee anavyoonekana kwa sasa ni kama kuna kitu kina mtafuna kimya kimya,na walimtumia watakavyo na yy akajisahau kuwa ana bifu,acha AVUNE ALICHOPANDA.
 
Tangu kipindi cha mchakato wa katiba mpya ulipoisha pale Bungeni Dodoma mhe.Samwe Sitta amekuwa kimya sana yuko wapi?.Iko wapi ile nguvu aliyoionyesha mh huyu pale Bungeni kwenye ule mchakato wa katiba mpya uliozaa Katiba FAKE (pendekezwa)?

Bado anatunga sheria
 
Bado anaugulia machungu ya kuiharibu cv yake kizembe akidhani anaisadia ccm kumbe mtego wa kummaliza kwa kusimamia undwaji katiba feki na ya aibu.

Sasa hivi anatembea na aibu juu ya mwili wake, kachafuka na kapoteza ujasili wa majivuno ya speed & standard

Hata mwadishi atakaekwenda kutafuta habari kwake atauza wapi , labda ziwe za kashfa kama ya Juma Kapuya hapo tutamsikia tena kwa kishindo.
 
Sitta a political Cheshire cat
mysteriously disappears leaving only
his mischievous grin-katiba feki. Sitta, Sitta where are you?
 
Such creatures last temporarily because the soul is already condemned.The body is no more cooperating with the soul
 
Mpaka anatukana viongozi wa dini kwa ulevi wake wa madaraka unadhani atabaki kwenye ramani tena? Haiwezekani. Kajizika mwenyewe hakuna anayemtaka tena hata familia yake inamchukia

unajua bhana baada ya muda fulani tangu mtu alaaniwe ile LAANA ALIYOPEWA HUGEUKA KICHAA ! Tusubiri tu mengi yanakuja .
 
Huyu mzee 6 alinichekesha sana siku moja alipokuja Denmark kikazi akakutana na wabongo baada ya mazungumzo akatuomba huku akitaka kulia akisema vijana wangu hamuwezi kuniacha hivi hivi nilale kizembe na hili pupwe fanyeni mpango mnitafutie kabint kakizungu nikagegede. Watu chapu tukamletea jamaa alifurahi huyo. Siksi je unakumbuka
 
Back
Top Bottom