Yuko wapi Mh Zitto?

kama chama cha sisiemu kinataka kumuua mnafikiri ataonekanaje??? Uhuni mnaofanya Mungu anawaona dhulma itawarudia
ZZK bado anatafuta documents za gari lake. Mara akizipata ataziwasilisha polisi na ataonekana tena bungeni akiwa raia huru
 
Mkuu weka hapa ushahidi wa hayo maneno



Yaliyojiri kwenye ziara ya Rais Magufuli kisiwani Pemba: Ampongeza Jecha kusimamia uchaguzi vizuri



Fuatilia hiyo link utayakuta hayo maneno akimuhimiza Dkt.Shein kupambana na yeyote anayempinga."Dkt.Shein una sapoti yangu yote,ukiona umemshindwa mtu niambie mimi uone kama itapita dk.5"

Una lingine,usifikiri tunaongea vitu tusivyo na ushahidi navyo.Mwenye mamlaka anapojiapiza kuwa na uwezo wa kumshughulikia mtu ndani ya dk.5,ni nani awezaye kupingana naye?Heko Mh.Zitto kwa kuukimbia mkono wa chuma,yawezekana nawe ungekuwa gerezani kama Mh.Lema,au ungekuwa kwenye Sandarusi na kuitwa mhamiaji haramu.
 
Hawa ccm......mwisho wao upo tu. Acha waendelee kucheza na uhai wa watz.....
 
Bunge unaliangalia wapi? hau wewe umeruhusiwa kuangalia bunge live.
 
Kaenda kufanya uchunguzi wa kupotea kwa Ben Saanane ni mwanasiasa pekee anayejali maisha ya wanasiasa wenzake Mshaija mkuru
 


Nimesikia ameenda kozi kujifunza jinsi ya kulitamka Jina la mtoto wake mwenyewe, halafu aje atufundishe na sisi kulitamka, Josina – Umm Kulthum !
 
Nyie si mnamsaka kwa kusema mazao yetu yamekauka kwa kukosa mvua
 
Nimesikia ameenda kozi kujifunza jinsi ya kulitamka Jina la mtoto wake mwenyewe, halafu aje atufundishe na sisi kulitamka, Josina – Umm Kulthum !
Jonh Cena?

Ndio maana hamlipwi kwa show mlizofanya wakati wa kampeni
 
Anaandaa mswada binafisi wa kumwipeech rais
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…