Babu Kijiwe
JF-Expert Member
- Mar 31, 2010
- 4,845
- 4,776
Humu jukwaani kulikuwa na mtu muhimu sana anaitwa masai dada sikuhizi simwoni... au simu yake imepandisha mori haiingii Jf? Mwenye taarifa zake atujuze.
Tehe[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mbona yupo mkuuUnamuuliza nani?
Unamuulizia nini?
Tehe[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mbona yupo mkuu[/QUOTE
Yupo kwenye fungate