Yuko wapi Mama yetu Janeth Magufuli?

Status
Not open for further replies.
Kama huna sababu ya kupiga simu basi sidhani nia yako ya kutaka kujua mke wa rais yuko wapi, ni ya dhati.

Unaandika tu hapa ili wewe na wenzako mpate upenyo wa kuanza kumponda Magufuli kupitia jina la mkewe.

Shameful.
Sarcasm imewajaa hawa waungwana.
 
Cyo mama yangu mm
Najua ni kweli kuwa yeye siyo mama yako mzazi

Lakini ni Mama wa Taifa letu la Tanzania

Ndiyo tafsiri ya kuitwa yeye kuwa First Lady
 
Kaka uwe unapitapita na kule MMU...

Kumbe na haya mambo bado umo.!?

Ila usije chukua madem zetu...😂😂😂
 
Kaka uwe unapitapita na kule MMU...
Ila usije chukua madem zetu...😂😂😂
Kule MMU nipo na ni threads kibao zikiwemo hizi
Enjoy Black Beauty: Did You Know They Are Two Types?!. Black Inside Out & Black Out, Inside Red!. - JamiiForums
ila hili la kuogopa labda nichakua mademu wenu, usiwe na shaka wala wasiwasi, mimi ujana wangu niliutumia vizuri, nikiamua kufolenisha, foleni itaanzia Tegeta mpaka Feri!, sasa mimi ni mtu mzima, hivyo mambo yangu sasa ni ya kiutu uzima, mambo ya mademu na mimi mbalimbali.
P.
 
Ha ha !
wewe kiboko
 
Hii Ni Tabia Mbaya Sana Ya Wanaume Wa Dar... Unaanzaje Kumuuliza Mke Wa Mwanaume Mwenzio Yuko Wapi?
 
Mama yetu wa awamu ya kwanza Mama Maria Nyerere wakiwa very active na shughuli za waume zao ambao walikuwa ni marais katika awamu zilizopita,



Hivi uko serious uliwahi kumuona mama Maria Nyerere akiwa na mzee wake?
 
anhahahaaa..

Barikiwa.

Em ngoja nipitie hizo threads..bila shaka ntakutana na madini.
 

Unachotafuta utakipata

Wewe endelea ulizia wake za watu
 
Ni ngumu kujua... hasa zama hizi kila kitu kukifanya lazima mpaka upewe kibali...


Cc: mahondaw
 
Yaani ingetokea siku upate nafasi ya kumuuliza Baba swali hilo live majibu yake sidhani kama ungekuja kuulizaga tena miswali ya kipumbavu ivyo
 
Unachotafuta utakipata

Wewe endelea ulizia wake za watu
Hahaaaaa.......😀😀

Usinitishe Mkuu....

Au ndiyo nitakuja kuchukuliwa na Noah nyeusi??

Nieleze Mkuu, ili niwe mwangalifu
 
Na hata jumapili walikuwa wote kanisani st peter..au kama ana hamu sana ya kumuona awe anaenda kukaa viunga vya st peter kila jumapili

Na Jana alihudhuria misa ya kwanza ya X-Mas kanisa la St.Joseph
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…