Alikuwepo kwenye Mfugale 'fly over' ! Una jingine ?Yuko wapi mama yetu huyo, Janeth Magufuli?
Hilo ndilo swali tunalojiuliza watanzania baada ya kutomuona siku nyingi katika matukio ya kisiasa ya nchini kwetu
Tulizoea kuwaona maFirst Lady akina Mama Salma Kikwete, Mama Anna Mkapa, Mama Sitti Mwinyi na hata Mama yetu wa awamu ya kwanza Mama Maria Nyerere wakiwa very active na shughuli za waume zao ambao walikuwa ni marais katika awamu zilizopita, wakati hali ni tofauti sana katika awamu hii, ambapo mama huyo ambaye ni First Lady wa awamu hii Mama Janeth Magufuli amekuwa kimya sana, ndiyo maana tunajiuliza kulikoni, yuko wapi Mama yetu huyo?
Thanks for this jirani, baeleze baelewe!.Acheni uzushi mbona ufunguzi wa flyover alikuwepo juzi
Mama Maria Nyerere = Mama Janet. Sawa. Hawa n ma-first ladies wa ukweli.Yuko wapi mama yetu huyo, Janeth Magufuli?
Hilo ndilo swali tunalojiuliza watanzania baada ya kutomuona siku nyingi katika matukio ya kisiasa ya nchini kwetu
Tulizoea kuwaona maFirst Lady akina Mama Salma Kikwete, Mama Anna Mkapa, Mama Sitti Mwinyi na hata Mama yetu wa awamu ya kwanza Mama Maria Nyerere wakiwa very active na shughuli za waume zao ambao walikuwa ni marais katika awamu zilizopita, wakati hali ni tofauti sana katika awamu hii, ambapo mama huyo ambaye ni First Lady wa awamu hii Mama Janeth Magufuli amekuwa kimya sana, ndiyo maana tunajiuliza kulikoni, yuko wapi Mama yetu huyo?
Wanauzwa na nani !?Walionunuliwa wapo wengi kama mbilimbi
Wanauzwa na nani !?
Wewe unajiuza !?Wanajiuza wenyewe
Lipo ...weka pichaAlikuwepo kwenye Mfugale 'fly over' ! Una jingine ?
cc G. MsigwaLipo ...weka picha
Na hata jumapili walikuwa wote kanisani st peter..au kama ana hamu sana ya kumuona awe anaenda kukaa viunga vya st peter kila jumapiliAlikuwepo kwenye Mfugale 'fly over' ! Una jingine ?
π€π€π€[emoji23][emoji23][emoji23][emoji30][emoji87][emoji40][emoji40]

Sema mmemiss kuwatukana first ladies kama ilivyokuwa kwa waliopita..huyu mama hana taasisi yoyote ya kufanyia shughuli zake kama ilivyo wama ya salma kikwete au eotf ya anna mkapa..akifungua taasisi kama hizo mtahoji pesa katoa wapi..kwa kifupi hana pesa za kumfanya ajitokeze kufanya shughuli za kijamii..maana shughuli hizo zinahitaji pesa.Yuko wapi mama yetu huyo, Janeth Magufuli?