Mystery
JF-Expert Member
- Mar 8, 2012
- 15,842
- 31,073
Yuko wapi mama yetu huyo, Janeth Magufuli?
Hilo ndilo swali tunalojiuliza watanzania baada ya kutomuona siku nyingi katika matukio ya kisiasa ya nchini kwetu
Tulizoea kuwaona maFirst Lady akina Mama Salma Kikwete, Mama Anna Mkapa, Mama Sitti Mwinyi na hata Mama yetu wa awamu ya kwanza Mama Maria Nyerere wakiwa very active na shughuli za waume zao ambao walikuwa ni marais katika awamu zilizopita, wakati hali ni tofauti sana katika awamu hii, ambapo mama huyo ambaye ni First Lady wa awamu hii Mama Janeth Magufuli amekuwa kimya sana, ndiyo maana tunajiuliza kulikoni, yuko wapi Mama yetu huyo?
Kwa kuwa kuna msemo unaosema IN EVERY MAN's SUCCESS THERE IS A WOMAN BEHIND