Hismastersvoice
JF-Expert Member
- Jan 26, 2013
- 23,939
- 29,298
....nimemmisi.... ondoa neno hili, halitumiki kwa wanaume watupu au jinsi moja labda tu vinginevyo.Kama Mtanzania mpenda Viongozi wangu na Utendaji wao mzuri naomba Kujulishwa yuko wapi Makamu wangu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania?
Nikimwona Uwanja wa Uhuru Keshokutwa ( Alhamisi ) katika Siku ya Uhuru wetu GENTAMYCINE nitakuwa ni mwenye Furaha na nitajitahidi 'nipenyepenye' mpaka nikamsalimie Mtani wangu wa Kiha kutoka kwa 'Washamba' Mkoani Kigoma.
au kama yupo ( tunae hapa JamiiForums ) tafadhali naomba ajitokeze tu anijibu kuwa yuko na anaendelea na Majukumu yake ili tu Roho yangu iridhike kwani 'nimemmisi' sana Makamu wangu wa Rais Dk. Philip Mpango.
Waha niambieni Ndugu yenu yuko wapi?
Mnaniua lini?Anajiona kajificha sana hapa
Kwanini uuawe ndugu?Mnaniua lini?
Mimi ni 'Semenya' tu au hujajua Mkuu?....nimemmisi.... ondoa neno hili, halitumiki kwa wanaume watupu au jinsi moja labda tu vinginevyo.
Kama Mtanzania mpenda Viongozi wangu na Utendaji wao mzuri naomba Kujulishwa yuko wapi Makamu wangu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania?
Nikimwona Uwanja wa Uhuru Keshokutwa ( Alhamisi ) katika Siku ya Uhuru wetu GENTAMYCINE nitakuwa ni mwenye Furaha na nitajitahidi 'nipenyepenye' mpaka nikamsalimie Mtani wangu wa Kiha kutoka kwa 'Washamba' Mkoani Kigoma.
au kama yupo ( tunae hapa JamiiForums ) tafadhali naomba ajitokeze tu anijibu kuwa yuko na anaendelea na Majukumu yake ili tu Roho yangu iridhike kwani 'nimemmisi' sana Makamu wangu wa Rais Dk. Philip Mpango.
Waha niambieni Ndugu yenu yuko wapi?
Kwani zito Anasemaje?Kama Mtanzania mpenda Viongozi wangu na Utendaji wao mzuri naomba Kujulishwa yuko wapi Makamu wangu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania?
Nikimwona Uwanja wa Uhuru Keshokutwa ( Alhamisi ) katika Siku ya Uhuru wetu GENTAMYCINE nitakuwa ni mwenye Furaha na nitajitahidi 'nipenyepenye' mpaka nikamsalimie Mtani wangu wa Kiha kutoka kwa 'Washamba' Mkoani Kigoma.
au kama yupo ( tunae hapa JamiiForums ) tafadhali naomba ajitokeze tu anijibu kuwa yuko na anaendelea na Majukumu yake ili tu Roho yangu iridhike kwani 'nimemmisi' sana Makamu wangu wa Rais Dk. Philip Mpango.
Waha niambieni Ndugu yenu yuko wapi?
Yeye na mwendazake walikuwa wajingaNakumbuka mwendazake alimtoa hospitalini ili aongee kuthibitisha yuko salama. Mzee alikohoa mpaka akatia huruma...
Mweee!Kuna 'nyepe nyepe' moja imenipitia 'Usingizini' mwangu sasa sijui nilikuwa naota tu masikini ya Mungu!!!!
Tangazo lako la kunijulisha halijanifikia.Mimi ni 'Semenya' tu au hujajua Mkuu?
Kwa mujibu wa nafasi yake ataonekana active pale ambapo anatakiwa kufanya kazi aliyopangiwa na Raisi au kumwakilisha Mh Raisi. Mambo ya Muungano na Mazingira anaye waziri ndani ya Ofisi yake, kwa hiyo yeye yupo tu mpaka pale atakapopangiwa shughuli na RaisiKama Mtanzania mpenda Viongozi wangu na Utendaji wao mzuri naomba Kujulishwa yuko wapi Makamu wangu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania?
Nikimwona Uwanja wa Uhuru Keshokutwa ( Alhamisi ) katika Siku ya Uhuru wetu GENTAMYCINE nitakuwa ni mwenye Furaha na nitajitahidi 'nipenyepenye' mpaka nikamsalimie Mtani wangu wa Kiha kutoka kwa 'Washamba' Mkoani Kigoma.
au kama yupo ( tunae hapa JamiiForums ) tafadhali naomba ajitokeze tu anijibu kuwa yuko na anaendelea na Majukumu yake ili tu Roho yangu iridhike kwani 'nimemmisi' sana Makamu wangu wa Rais Dk. Philip Mpango.
Waha niambieni Ndugu yenu yuko wapi?
Nasikia kuwa yuko Dar.Nchimbi naye atakuwa wapi?
Yupo anapiga kazi,yule ni makamu wa Rais huwezi kutana naye magomeni au kariakoo kirahisi[emoji3][emoji3][emoji3][emoji23][emoji23]
Hili swali lako lipo ki mipango wewe jamàa akili zako unazijuaga mwenyewe tu nahisi kuna kituKama Mtanzania mpenda Viongozi wangu na Utendaji wao mzuri naomba Kujulishwa yuko wapi Makamu wangu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania?
Nikimwona Uwanja wa Uhuru Keshokutwa ( Alhamisi ) katika Siku ya Uhuru wetu GENTAMYCINE nitakuwa ni mwenye Furaha na nitajitahidi 'nipenyepenye' mpaka nikamsalimie Mtani wangu wa Kiha kutoka kwa 'Washamba' Mkoani Kigoma.
au kama yupo ( tunae hapa JamiiForums ) tafadhali naomba ajitokeze tu anijibu kuwa yuko na anaendelea na Majukumu yake ili tu Roho yangu iridhike kwani 'nimemmisi' sana Makamu wangu wa Rais Dk. Philip Mpango.
Waha niambieni Ndugu yenu yuko wapi?
Yupo ana mafaili mengi sana anayafanyiaKama Mtanzania mpenda Viongozi wangu na Utendaji wao mzuri naomba Kujulishwa yuko wapi Makamu wangu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania?
Nikimwona Uwanja wa Uhuru Keshokutwa ( Alhamisi ) katika Siku ya Uhuru wetu GENTAMYCINE nitakuwa ni mwenye Furaha na nitajitahidi 'nipenyepenye' mpaka nikamsalimie Mtani wangu wa Kiha kutoka kwa 'Washamba' Mkoani Kigoma.
au kama yupo ( tunae hapa JamiiForums ) tafadhali naomba ajitokeze tu anijibu kuwa yuko na anaendelea na Majukumu yake ili tu Roho yangu iridhike kwani 'nimemmisi' sana Makamu wangu wa Rais Dk. Philip Mpango.
Waha niambieni Ndugu yenu yuko wapi?
Alikuwepo juzi wakati wa uapisho wa balozi mpya wa Brazil.Kama Mtanzania mpenda Viongozi wangu na Utendaji wao mzuri naomba Kujulishwa yuko wapi Makamu wangu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania?
Nikimwona Uwanja wa Uhuru Keshokutwa ( Alhamisi ) katika Siku ya Uhuru wetu GENTAMYCINE nitakuwa ni mwenye Furaha na nitajitahidi 'nipenyepenye' mpaka nikamsalimie Mtani wangu wa Kiha kutoka kwa 'Washamba' Mkoani Kigoma.
au kama yupo ( tunae hapa JamiiForums ) tafadhali naomba ajitokeze tu anijibu kuwa yuko na anaendelea na Majukumu yake ili tu Roho yangu iridhike kwani 'nimemmisi' sana Makamu wangu wa Rais Dk. Philip Mpango.
Waha niambieni Ndugu yenu yuko wapi?
Mkuu nchi ngumu.. sana hii ndg yangu kiufupi Vp, haitendei haki cgeo chake .,Kama Mtanzania mpenda Viongozi wangu na Utendaji wao mzuri naomba Kujulishwa yuko wapi Makamu wangu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania?
Nikimwona Uwanja wa Uhuru Keshokutwa ( Alhamisi ) katika Siku ya Uhuru wetu GENTAMYCINE nitakuwa ni mwenye Furaha na nitajitahidi 'nipenyepenye' mpaka nikamsalimie Mtani wangu wa Kiha kutoka kwa 'Washamba' Mkoani Kigoma.
au kama yupo ( tunae hapa JamiiForums ) tafadhali naomba ajitokeze tu anijibu kuwa yuko na anaendelea na Majukumu yake ili tu Roho yangu iridhike kwani 'nimemmisi' sana Makamu wangu wa Rais Dk. Philip Mpango.
Waha niambieni Ndugu yenu yuko wapi?
Isije kuwa yaleyale🤔.Nipo mkuu napiga kazi kimya kimya.
Kazi iendelee 😂😂😂
Ukome na ulegee [emoji1787][emoji1787],----Kigoma ni nchi wala sio mkoa.