Kuna jamaa yangu waliuza nyumba ya urithi wakagawana pesa fresh. Jamaa akaonja mwanamke wa kimakonde. Eh bwana we. Jamaa alihamia kwa huyu mwanamke huku kaacha mke wake na watoto 4 mita hamsini tu toka kwake. Tulifanya kila juhudi anatusikiliza lkn akitoka kwenye kikao break ya kwanza kwa mmakonde Hadi hela zote zilipoisha mmakonde kamtupia nguo zake nje.Tena wamakonde ni wanafiki sana, staki kabisa hata ukaribu nao, ndo hao hao akina harmonize
Hao kwa uchawi ndo wenyeweKuna jamaa yangu waliuza nyumba ya urithi wakagawana pesa fresh. Jamaa akaonja mwanamke wa kimakonde. Eh bwana we. Jamaa alihamia kwa huyu mwanamke huku kaacha mke wake na watoto 4 mita hamsini tu toka kwake. Tulifanya kila juhudi anatusikiliza lkn akitoka kwenye kikao break ya kwanza kwa mmakonde Hadi hela zote zilipoisha mmakonde kamtupia nguo zake nje.
Yupo mwingine kijana mdogo tu anaduka na mke na watoto.
Utani utani akamuonja mwanamke wa kimakonde mwenye miaka 60 plus. Heh kufumba na kutumbua mapenzi yakanoga mpaka jamaa akajivhanganya wakafunga ndoa ya kiislam. Ndugu zake wskachachamaa wakasema hawataki huo ujinga. Mwanamke wa kimakonde akasema haachiki hivi hivi lazima wagawane Mali.Wapambe wa serikali za mitaa wakauliza Kama Kuna ndoa wakaambiwa ipo. Huwezi kuamini nyumba ya jamaa iligawiwa Kati Kati vyumba vitatu huku na vitatu kule mpaka uani. Jamaa kabaki na upande wenye frem ya duka. Ukuta Kati Kati, mpaka hii asubuhi kigagula kinaishi kwenye hiyo nyumba. Hakina mtoto Wala mjukuu Wala ndugu Wala msaidizi. Hakija wahi kuzaa.
Mali za walioko ndani ya ndoa hazigawanywi hivyo kama andazi, ni zile zilizopatikana wakati wa ndoa tu na si kabla.Kuna jamaa yangu waliuza nyumba ya urithi wakagawana pesa fresh. Jamaa akaonja mwanamke wa kimakonde. Eh bwana we. Jamaa alihamia kwa huyu mwanamke huku kaacha mke wake na watoto 4 mita hamsini tu toka kwake. Tulifanya kila juhudi anatusikiliza lkn akitoka kwenye kikao break ya kwanza kwa mmakonde Hadi hela zote zilipoisha mmakonde kamtupia nguo zake nje.
Yupo mwingine kijana mdogo tu anaduka na mke na watoto.
Utani utani akamuonja mwanamke wa kimakonde mwenye miaka 60 plus. Heh kufumba na kutumbua mapenzi yakanoga mpaka jamaa akajivhanganya wakafunga ndoa ya kiislam. Ndugu zake wskachachamaa wakasema hawataki huo ujinga. Mwanamke wa kimakonde akasema haachiki hivi hivi lazima wagawane Mali.Wapambe wa serikali za mitaa wakauliza Kama Kuna ndoa wakaambiwa ipo. Huwezi kuamini nyumba ya jamaa iligawiwa Kati Kati vyumba vitatu huku na vitatu kule mpaka uani. Jamaa kabaki na upande wenye frem ya duka. Ukuta Kati Kati, mpaka hii asubuhi kigagula kinaishi kwenye hiyo nyumba. Hakina mtoto Wala mjukuu Wala ndugu Wala msaidizi. Hakija wahi kuzaa.
Wewe wasema.Mali za walioko ndani ya ndoa hazigawanywi hivyo kama andazi, ni zile zilizopatikana wakati wa ndoa tu na si kabla.
Kwa kufurahisha baraza sawa.
I TAKE YOUR WORD 150 %!Watu wengi nchi hii ni opportunists tuu, wenye uchungu na nchi ni wachache sana tena sana, take my word !!
Siasa mbaya sanaThat was totally BS.
Hukuwa hata amerecover,nguvu hana,anakooa lakini wenyewe wakapeleka makamera Benjamin Mkapa Hospital.
Hawakumfanyia fair kabisa.
Bila shaka ulifanya / mlifanya Sherehe.Genta kala nyundo [emoji23][emoji23]
Tuulize tunaokaa nao blaza usikatae tu bila kujua... wanawake wanafanya ndoa mtaji kabisa yaani anaolewa anaachika na tena na tena and it's vice versa na ngoma mwendo ni huohuo pasu pasu haijalishi nini wala niniMali za walioko ndani ya ndoa hazigawanywi hivyo kama andazi, ni zile zilizopatikana wakati wa ndoa tu na si kabla.
Kwa kufurahisha baraza sawa.
Turudi hapaKama Mtanzania mpenda Viongozi wangu na Utendaji wao mzuri naomba Kujulishwa yuko wapi Makamu wangu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania?
Nikimwona Uwanja wa Uhuru Keshokutwa (Alhamisi) katika Siku ya Uhuru wetu GENTAMYCINE nitakuwa ni mwenye Furaha na nitajitahidi 'nipenyepenye' mpaka nikamsalimie Mtani wangu wa Kiha kutoka kwa 'Washamba' Mkoani Kigoma.
Au kama yupo (tunae hapa JamiiForums) tafadhali naomba ajitokeze tu anijibu kuwa yuko na anaendelea na Majukumu yake ili tu Roho yangu iridhike kwani 'nimemmisi' sana Makamu wangu wa Rais Dk. Philip Mpango.
Waha niambieni Ndugu yenu yuko wapi?
Kweli mkuu!!Turudi hapa
We are all asking the same question - God and timeKama Mtanzania mpenda Viongozi wangu na Utendaji wao mzuri naomba Kujulishwa yuko wapi Makamu wangu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania?
Nikimwona Uwanja wa Uhuru Keshokutwa (Alhamisi) katika Siku ya Uhuru wetu GENTAMYCINE nitakuwa ni mwenye Furaha na nitajitahidi 'nipenyepenye' mpaka nikamsalimie Mtani wangu wa Kiha kutoka kwa 'Washamba' Mkoani Kigoma.
Au kama yupo (tunae hapa JamiiForums) tafadhali naomba ajitokeze tu anijibu kuwa yuko na anaendelea na Majukumu yake ili tu Roho yangu iridhike kwani 'nimemmisi' sana Makamu wangu wa Rais Dk. Philip Mpango.
Waha niambieni Ndugu yenu yuko wapi?
Gangs of msoga au?Lolote limkute
kiongozi, imebidi niplagiarize simulizi kuhusu hii kitu:Kama Mtanzania mpenda Viongozi wangu na Utendaji wao mzuri naomba Kujulishwa yuko wapi Makamu wangu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania?