UNEMPLOYYED
Senior Member
- Jan 29, 2017
- 116
- 47
Siasa ni mchezo mchafu ,,,wanasema√√√√√
Nenda kwakeNamdai kura
Mpiga majungu na mfitini siku zote hawanaga maendeleo, kwa mawazo mlionayo ni hakika mnaenda kuitupa hii nchi kwenye umasikini Mkubwa sana, mmeanza kutia umaskini mtu mmoja mmoja itafuata umaskini katika familia mnalizia na taifa lote tumekwisha watambua nyinyi na Mr Beer wenu na historia lazima iandikwe katika awamu hii, huyu ndio ndio atakua raisi wa kwanza kutawala nchi kwa awamu moja tu, halafu tupa kule, Beer beer nani anataka kulewa miaka 10 una mahung over. Shit.Wiki hii nafikiri vijana wote na wana habari wake lukuki amewalipa subiri wiki ijayo atakavyo pambwa utafikiri analamaana katika nchi au kuna kitu substantial.
Being in the media is the best thing for a politician. Dont you agreeLowassa is not a charterbox like some immature political machines.
Leta ushahidiLowassa lile kubwa la mafisadi?
hatoi tena misaada?
HANA LOLOTE. Kwisha habari yake!YUPO KENYA NADHANI KUNA ZIARA MAALUM ANAIFANYA, NILIPISHANA NA MSAFARA WAKE JANA PALE NAMANGA .
Sherehe zake za Mwaka Mpya kila Mwaka tulikuwa tunakula na kunywa sana kule Monduli Pamoja na Wanamtandao wote kutoka sehemu mbalimbali Duniani!
Magufuli kasema hamna kesi, mkimpeleka mahakamani na akikutwa na kesi ntsamini shubaaamitAnamwogopa jpm balaa, ana wasi wa kupelekwa mahakama ya mafisadi
Leta ushahidi
Mpeleke mahakamani sababu ushahidi unao ila angalia usiwe kama yule polisi wa lissuchadema waliniambia mwembe yanga
lissu si mwanasheria mahiri? alikusanya evidence zote..akaandika uchafu wote wa Lowassa, mara makamanda uchwara hawa wakamgeukia kumlamba miguu fisadiMpeleke mahakamani sababu ushahidi unao ila angalia usiwe kama yule polisi wa lissu
Anasubiria zile tank ml 4 alizoagiza za mahindi kuja kugawa bure mkuuNaona huyu Mzee anapotea kidogokidogo si kawaida kukaa mda mrefu bila kuwa kwenye media. Yuko wapi. Sinema ya sembe imemalizika yeye kimyaaa.
We nani, mchoma nyama wa familia?. Maana unalazimisha ukaribu.Yupo kwake kapumzika na familia yake.
Vp mkuu una lipi nimfikishie ?