sorry that was intended for Waberoya!
Haina shida mkuusorry yamakagashi hiyo ni ya Waberoya!
Mku hilo ni katika yale makaburi yasofukuliKaNaye anatakiwa aripoti polisi?
Alimfisadi mom yako nini funguka au mpeleke mahakamani dada yangu.
dwissme
Kwa mkeoSiasa zisizo za maji taka zitakuwa za maji tope. Umeshawahi kuona siasa safi? Wapi usa?
Tuishangae serikali yetu pendwa kwanini haimpandishi kizimbani.. Au inamlinda?
Amerudi tena kutizama wasipoteeSi alishatimiza ahadi? Hukuona picha?
Lowasa kaamua kupuuza utabiri wa TB Joshua baada ya kuona kapigwa tena kwenye uchaguzi mdogo..Naona huyu Mzee anapotea kidogokidogo si kawaida kukaa mda mrefu bila kuwa kwenye media. Yuko wapi. Sinema ya sembe imemalizika yeye kimyaaa.
Kwani mama yako amerudi mkuu? Juzi walipita naye huku kwetu sasa sijui kama hajarudi!Naona huyu Mzee anapotea kidogokidogo si kawaida kukaa mda mrefu bila kuwa kwenye media. Yuko wapi. Sinema ya sembe imemalizika yeye kimyaaa.
Mkuu gugu limekukolea nini?Kwa mkeo
Hahahaa hapo simo. Unajua wanaoenda kwa tb joshua hutoa mpunga mrefu mpaka anachanganyikiwa ndio maana anafanya follow upLowasa kaamua kupuuza utabiri wa TB Joshua baada ya kuona kapigwa tena kwenye uchaguzi mdogo..
Kama angekuwa na pressure ile kukatwa tu angekufaNasikia ccm wamempa Ugonjwa wa pressure Baada ya ushindi wa Kata 19
Mja umelaanika wewe!Kwani mama yako amerudi mkuu? Juzi walipita naye huku kwetu sasa sijui kama hajarudi!
Namdai kuraYupo kwake.vipi una shida nae?
Ndio maana namuuliziaSijamsikia kabisa akitia neno katika ishu ya madawa!