Yuko wapi Lowassa?

Yuko wapi Lowassa?

Mimi mwenyewe nimeshangaa ,Ukimya wake huwa unatisha
remember huyo ni baba wa watu, babu ya watu nk! na isingekua vuzuri wewe ucoment hivyo unajulikana kwa kuwa waliotoka CHADEMA Wakaenda ACT na kuishia CCM ni wachache na wanajulikana! you are easily treceble Mkuu! Au unataka nianze kutoa hints?

Bukoba unakujua!!!!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom