Mbao za Mawe
JF-Expert Member
- May 11, 2015
- 23,372
- 55,027
Lowasa angekuwa hajaoa angepata wanawake msimu huu
Maskini kichaa kimekupata ukingali kijana. PoleLowasa angekuwa hajaoa angepata wanawake msimu huu
Usinitikisie nepi zako hapa, huyo mzee alipokuwa huko shimoni mlikuwa mnamuliza?Maskini kichaa kimekupata ukingali kijana. Pole
lissu si mwanasheria mahiri? alikusanya evidence zote..akaandika uchafu wote wa Lowassa, mara makamanda uchwara hawa wakamgeukia kumlamba miguu fisadi
Lissu hakumfungulia mashtaka miaka 8'..
mwizi na fisadi lowassa hawezi kufikishwa mahakamani..
maana yuko na wezi wenzake ambao wako CCM....
ona ibu wewe
Chadema dream ya kupata nchi ilizikwa siku jamaa amehamia huko. Ni mamluki katumwa nyie bila kujiongeza mkafikiri mmepata.Mpiga majungu na mfitini siku zote hawanaga maendeleo, kwa mawazo mlionayo ni hakika mnaenda kuitupa hii nchi kwenye umasikini Mkubwa sana, mmeanza kutia umaskini mtu mmoja mmoja itafuata umaskini katika familia mnalizia na taifa lote tumekwisha watambua nyinyi na Mr Beer wenu na historia lazima iandikwe katika awamu hii, huyu ndio ndio atakua raisi wa kwanza kutawala nchi kwa awamu moja tu, halafu tupa kule, Beer beer nani anataka kulewa miaka 10 una mahung over. Shit.
Punguza mahaba! Tumeshamkataa huyo Bwana hapatikani Urais!!Unayemuulizia Lowasa aliko ,ili iweje?
Baba yako umemuuliza alipo Leo hii?
Haina shida joto ya jiwe si wote tunaipata haina cha upinzani wala chama chakavu tusubiri matokeo.Chadema dream ya kupata nchi ilizikwa siku jamaa amehamia huko. Ni mamluki katumwa nyie bila kujiongeza mkafikiri mmepata.
Rais wa term mmoja ni ndoto za alinacha za saa nane mchana jua kaliiii
Mzee wako kubwa la majinga au unamzungumzia Mzee yupi?Lowassa lile kubwa la mafisadi?
hatoi tena misaada?
Mzee wako kubwa la majinga au unamzungumzia Mzee yupi?Lowassa lile kubwa la mafisadi?
hatoi tena misaada?
Inaonekana umewahi hudhuria arusi ya wazee wako ulisikia kauli gani siku ya ndoa naona unawashwa na lowasaMadawa y kulevya ni issue nzito na pia mwenyekiti wake katuhumiwa. Huoni umuhimu wa kauli yake?
inauma hee...ha ha ha, mwizi huyo, kamataMzee wako kubwa la majinga au unamzungumzia Mzee yupi?
Watu wenye akili huwa hawapotezi muda kujibishana na wapumbavuMadawa y kulevya ni issue nzito na pia mwenyekiti wake katuhumiwa. Huoni umuhimu wa kauli yake?
Umeghumiwa? Mbona unaromokwa?Inaonekana umewahi hudhuria arusi ya wazee wako ulisikia kauli gani siku ya ndoa naona unawashwa na lowasa