Yuko wapi Lowassa?

Mzee akitulia mnasema akiongea mnasema jamani tumuacheeee alee wajukuu. Maisha sio kila siku uwe talk of the town kuna mda unatulia na ndio kawaida ya wastaarabu wote ulimwenguni. Shida mzee akitulia maccm yanaleta ishu za hovyo hadi mleta mada anamkumbuka lowassa,
 
Naona huyu Mzee anapotea kidogokidogo si kawaida kukaa mda mrefu bila kuwa kwenye media. Yuko wapi. Sinema ya sembe imemalizika yeye kimyaaa.
Wiki hii nafikiri vijana wote na wana habari wake lukuki amewalipa subiri wiki ijayo atakavyo pambwa utafikiri analamaana katika nchi au kuna kitu substantial.
 
Mzee akitulia mnasema akiongea mnasema jamani tumuacheeee alee wajukuu. Maisha sio kila siku uwe talk of the town kuna mda unatulia na ndio kawaida ya wastaarabu wote ulimwenguni. Shida mzee akitulia maccm yanaleta ishu za hovyo hadi mleta mada anamkumbuka lowassa,
Madawa y kulevya ni issue nzito na pia mwenyekiti wake katuhumiwa. Huoni umuhimu wa kauli yake?
 
Madawa y kulevya ni issue nzito na pia mwenyekiti wake katuhumiwa. Huoni umuhimu wa kauli yake?
Kauli yake ya nini? Ushasema katuhumiwa na hakuna ushahidi na mbowe kashawajibu hafanyii kazi wito wa mpumbavu! Mkiweza mkamkamate wenyewe ila uzuri filamu limeisha maana wale waliogoma kuja ndio ishapita ivo poleni
 
Back
Top Bottom