Yuko wapi Lowassa?

Yuko wapi Lowassa?

Kauli yake ya nini? Ushasema katuhumiwa na hakuna ushahidi na mbowe kashawajibu hafanyii kazi wito wa mpumbavu! Mkiweza mkamkamate wenyewe ila uzuri filamu limeisha maana wale waliogoma kuja ndio ishapita ivo poleni
Kisiasa tuhuma ni kitu kizito kinachoweza kubadilisha upepo kabisa. Hujui mkuu?
 
Hata Sherehe zake za Mwaka Mpya mwaka huu kazikaushia
 
Naona huyu Mzee anapotea kidogokidogo si kawaida kukaa mda mrefu bila kuwa kwenye media. Yuko wapi. Sinema ya sembe imemalizika yeye kimyaaa.
Umesahau aliahidi nini kua akishindwa ataenda wapi na kufanya nini?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom