Yuko wapi?? Lissa fickenscher

Yuko wapi?? Lissa fickenscher

Anao wanne sio watatu tena
 
Kaka! Huyo mwanamke kakupoteza mwanaume mzuri kama wewe.

Mimi mwenyewe katika kitu sipendi na sitamani ni kua na watoto baba tofauti pia sitaki watoto wangu wachangie baba na watoto wengine.

Ila sasa mambo huwa yanabadilika, watu tunatofautiana, wenza muda mwingine wanabadilika.
Habari upo poa
 
Wanawake warembo sana sio wa kuolewa.... tafuta 4/10 utapata amani kidogo
 
Back
Top Bottom