Hivi punde
JF-Expert Member
- Apr 1, 2017
- 2,554
- 8,606
Huyu kada kindakindaki wa CCM amepotelea wapi siku hizi? Yupo kimya sana.
Haonekani Jimboni, haonekani Twitter, haonekani Lumumba na White House Dodoma.
Yuko wapi huyu mwanakwetu?
Kitambo sana
Haonekani Jimboni, haonekani Twitter, haonekani Lumumba na White House Dodoma.
Yuko wapi huyu mwanakwetu?
Kitambo sana