Yuko ghalaniHuyu kada kindaki ndaki wa CCM amepotelea wapi siku hizi ? Yupo kimya sana.
Haonekani Jimboni , haonekani Tweeter , haonekani Lumumba na White House Dodoma...
Yuko wapi huyu mwanakwetu ?
Kitambo sana
Ametulia anasubiria uteuzi muda wowote!.Huyu kada kindaki ndaki wa CCM amepotelea wapi siku hizi ? Yupo kimya sana.
Haonekani Jimboni , haonekani Tweeter , haonekani Lumumba na White House Dodoma...
Yuko wapi huyu mwanakwetu ?
Kitambo sana
Anasubiri uteuziHuyu kada kindaki ndaki wa CCM amepotelea wapi siku hizi ? Yupo kimya sana.
Haonekani Jimboni , haonekani Tweeter , haonekani Lumumba na White House Dodoma...
Yuko wapi huyu mwanakwetu ?
Kitambo sana
Yupo hoi kisiasaAnakula maisha mitaa ya Ngaramtoni ya juu Arusha
Faraja kote bhanaAnajilia yule miss , faraja Kota sijui kota au kinyume chake 🤷
Kwa katiba ipi?Angebaki CHADEMA , 2025 akechukua Jimbo la Singida. Sijui ana kiwewe gani akarudi CCM .
Namkumbuka Mwenyekiti Wa Ccm Mkoa Wa Mara
Alimchimba Bit Mwita Kaa Kimya Wewe Uliyefika Bei


Man with price tag.....Namkumbuka Mwenyekiti Wa Ccm Mkoa Wa Mara
Alimchimba Bit Mwita Kaa Kimya Wewe Uliyefika Bei

Anajilia yule miss , faraja Kota sijui kota au kinyume chake 🤷
Nyalandu alimgaragaza Lisu kwenye kura za kamati kuu



mnamwandaa 2025 Mana ni kinda la mzee JK akimaliza ungwe mtamsimamisha JanuaryAngekuwa Kada kindakindaki angekatwa Mkia?Huyu kada kindakindaki wa CCM amepotelea wapi siku hizi? Yupo kimya sana.
Haonekani Jimboni, haonekani Twitter, haonekani Lumumba na White House Dodoma.
Yuko wapi huyu mwanakwetu?
Kitambo sana