Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 137,551
- 272,286
Kaoa tena?Yupo Zanzibar, ameoa kama five 0 six months ago
Jamaaa hata macho haoni ila anaongeza mke khaaaaaaKaoa tena ?
Sikuamini kabisa , komando akose kuona ?Jamaaa hata macho haoni ila anaongeza mke khaaaaaa
Hahaaaaa. Acha tu......ngoja nitarudi naona kuna noah inapita pita nje kwanguSikuamini kabisa , komando akose kuona ?
Komandoo yupo na mzima ila amepungukiwa na nguvu ya kuona.Yumkin AhlalBadr na sala kuapiza za Wapemba za kila siku zinahusika na hiliKomandoo yuko hapahapa au kaenda nje ya nchi ?
Hio ndio shukuran i na fadhila za a za CCM Bara ni ni mateke. Wakimaliza haja na shida ya kuwatumikia kwa maslahi ya Tanganyika unabaki kuwa takataka mpaka ufe waje na Bendera ya kijani kuja kukebehi kwa kukupa na kumiminia sifa usio kuwa nazo na zisizo kuwepo. Rais Jumbe na Rais Iddrissa waliyaona hayo mapema ndio wakaweka wosia kuwa hawatki dhihaka za kikafiri kufanywa kwenye maziko yao.nimejitahidi sana kuchungulia kwenye vikao vya ccm vilivyofanyika hivi karibuni Dodoma na kwingineko sijamuona .
Aiseeee!!!! CCM ni chama kikatiri sana !Komandoo yupo na mzima ila amepungukiwa na nguvu ya kuona.Yumkin AhlalBadr na sala kuapiza za Wapemba za kila siku zinahusika na hili
Hio ndio shukuran i na fadhila za a za CCM Bara ni ni mateke. Wakimaliza haja na shida ya kuwatumikia kwa maslahi ya Tanganyika unabaki kuwa takataka mpaka ufe waje na Bendera ya kijani kuja kukebehi kwa kukupa na kumiminia sifa usio kuwa nazo na zisizo kuwepo. Rais Jumbe na Rais Iddrissa waliyaona hayo mapema ndio wakaweka wosia kuwa hawatki dhihaka za kikafiri kufanywa kwenye maziko yao.
Jicho moja la chini muhimu sana kuliko macho mawili ya juu.Jamaaa hata macho haoni ila anaongeza mke khaaaaaa
Na bado kuna watu wakenda ktk mazishi ya Mzee Jumbe na chepe la green!Komandoo yupo na mzima ila amepungukiwa na nguvu ya kuona.Yumkin AhlalBadr na sala kuapiza za Wapemba za kila siku zinahusika na hili
Hio ndio shukuran i na fadhila za a za CCM Bara ni ni mateke. Wakimaliza haja na shida ya kuwatumikia kwa maslahi ya Tanganyika unabaki kuwa takataka mpaka ufe waje na Bendera ya kijani kuja kukebehi kwa kukupa na kumiminia sifa usio kuwa nazo na zisizo kuwepo. Rais Jumbe na Rais Iddrissa waliyaona hayo mapema ndio wakaweka wosia kuwa hawatki dhihaka za kikafiri kufanywa kwenye maziko yao.
... Aisee kumbee!!!Komandoo yupo na mzima ila amepungukiwa na nguvu ya kuona.Yumkin AhlalBadr na sala kuapiza za Wapemba za kila siku zinahusika na hili