Huu uchochezi mkuu....Tatizo ni Uwaziri Mkuu! Rejea mapicha picha yake ya kumkejeli Mzee wa Chatle.
wewe wasemaHuu uchochezi mkuu....
Yupo kimya akula pesa zile zinazotengwa kwa ajili ya kutataua kero za muungano, kumbuka kero zipo, hazijawahi kupungua licha ya bunge kupitisha pesa kila mwaka, pia anakula pesa zilizotengwa kw ajili ya kuidhoofisha CUF kupitia kwa Lipumba na wenzake, yeye ni mjanja kamwacha Naibu waziri auze Sura huku yeye akipiga michongo ya hapa na pale ikiwemo ile ya vibali vya sukari, tambua yy hupenya wizara yeyote akiona fursa.Huyu Waziri tangu ateuliwe na Mh Rais kwenye nafasi binafsi sijawahi kumuona kabisa akifanya ziara za kikazi kama moja ya majukumu yake,zaidi amekua akionekana Naibu wake Mh Luhaha Mpina. Kama amekua akifanya hivyo basi itakua kimya kimya.
Mmh,hata kama ni kuonena kwenye media lakini binafsi naona kuna tofauti kubwa na wakati ule wa awamu ya nne akiwa kama Naibu waziri wizara ta Mawasiluana,sayansi na teknolojia wakati huo na wakati huu.Sijui ofisini kwake majukumu yanakwenda vipi lakini nafkiri ndiye Waziri pekee aliye kimya kuliko wote.
Dili haachi mda wote anasaka Dili, kwa sasa anakula kimya kimya kwa sababu wizara ya muungano ina pesa nyingi zikiwemo za mazingira, kero, na pesa kwa ajili ya shughuri mbalimbali Zanzibar, watu wengi hawaifuatilii hiyo wizara ndiyo maana inakuwa rahisi mtu kula kimya kimya pasipo kujulikana.Politics is the dirty game... alipigwa za kolomeo, ndo anaugulia maumivu sasa.
Una undugu na Mkuu funzaYupo kimya akula pesa zile zinazotengwa kwa ajili ya kutataua kero za muungano, kumbuka kero zipo, hazijawahi kupungua licha ya bunge kupitisha pesa kila mwaka, pia anakula pesa zilizotengwa kw ajili ya kuidhoofisha CUF kupitia kwa Lipumba na wenzake, yeye ni mjanja kamwacha Naibu waziri auze Sura huku yeye akipiga michongo ya hapa na pale ikiwemo ile ya vibali vya sukari, tambua yy hupenya wizara yeyote akiona fursa.
Aliupenda Uwaziri Mkuu?Mi nadhani hakuipenda wizara hji
nimeipenda hiyo, mzee wa chatleTatizo ni Uwaziri Mkuu! Rejea mapicha picha yake ya kumkejeli Mzee wa Chatle.
Yawezekana anapanga kikosi kazi cha 2020..Huyu Waziri tangu ateuliwe na Mh Rais kwenye nafasi binafsi sijawahi kumuona kabisa akifanya ziara za kikazi kama moja ya majukumu yake,zaidi amekua akionekana Naibu wake Mh Luhaha Mpina. Kama amekua akifanya hivyo basi itakua kimya kimya.
Mmh,hata kama ni kuonena kwenye media lakini binafsi naona kuna tofauti kubwa na wakati ule wa awamu ya nne akiwa kama Naibu waziri wizara ta Mawasiluana,sayansi na teknolojia wakati huo na wakati huu.Sijui ofisini kwake majukumu yanakwenda vipi lakini nafkiri ndiye Waziri pekee aliye kimya kuliko wote.
Unataka kusema ilitakiwa apewe scientist,na sivinginevyo.Kama ndio hivyo kwanini alikubali uteuzi,ukimia labda anasoma online Environmental Engineering.Wizara aliyopewa ni muhimu lakini kwake ni somo gumu kulielewa. Ilikuwa rahisi kupigania masrahi ya wasanii maana haihitaji shule, lakini hapo alipo, Dah! Itamchukuwa miaka 5 kabla hajaelewa tafsiri ya mazingira.
Khabar za leo waungwana,
Ni kitambo ss sijamsikia wala kumwona Mh January mbunge wa Bumbuli na Waziri wa serikali ya awamu ya tano. Kwa yeyote mwenye taarifa zake karibu tujuzane!
Nawasilisha.