Yuko wapi kijana mtanashati January Makamba?

Khabar za leo waungwana,

Ni kitambo ss sijamsikia wala kumwona Mh January mbunge wa Bumbuli na Waziri wa serikali ya awamu ya tano. Kwa yeyote mwenye taarifa zake karibu tujuzane!

Nawasilisha.
 
Kampeni ziliisha, uchaguzi uliisha, yuko ofisini anamsaidia rais kutekeleza ahadi.
 
He is one of the youths that I appreciate them, January has vision and in fact he always plays civilized politics.
Kinacho nipa wasi wasi ni ukimya mwake katika kutekeleza Majukumu ya wizara yake ambapo Luhaga Mpina ndiye kawa kama WAZIRI.
Masuala ninayo jiuliza nj Manne tu, ambayo ni:-

1.Usie mtaka kaja?

2.Hajaridhika na wizara aliyopewa?

3.Mkuu wa NCHI hashauriki, hivyo akaona bora akae kimya?

4.Naibu wake ndiye ana muovataki?
 
Anaogopa kivuli cha JPM, naona zile katuni zilimuudhi sana mkuu wake na kapewa wizara kwa shingo upande.
 
Anafanya majukumu yake Kwa kuwa humfutilii Sana utaona kama hayupo ila ni waziri na ofisini yupo kama kawaida. Hayo maswali uliyouliza ni magumu
 
Achana na mambo ya kimbea ww, mtu akikaa kimya mnamchokaza, akizungumza mnasema anazumgumza pumba, binadam tuna hila ya kwapa sana.
 
mwanangu anapenda sana katuni ya TINGA TINGA AAA X 2 TINGA TINGA NCHI YETU , pia Tanzania one theater walimba sijui wanaisoma number
 
ukiona mtu anamchukia sana Jamuary Makamba ujue ni pro Mamvi.
 
Kila zama na zama zake JM aling'ara zama za Kasi Mpya, Nguvu Mpya na Ari Mya (Maneno , porojo na Siasa) kwa sasa ni [HASHTAG]#HapaKaziTu[/HASHTAG] (Uwajibikaji kwa Vitendo) unategemea nini wakati yeye ni kama Kasuku (ndege)
 
Huyo ngosha ni nani?
 
really there are people who are essential to some certain contexts be it in political,social, economic, or other arenas of the same but really are not essential personnels in leadership, taking into consideration this guy is an essential personnel in party's strategic plans and propaganda, in in fact this guy has played a great role in his party perhaps he expected much than what he have now. He had an expectation of acquiring high position as a reward of what he fought towards the success of his party,
my take this roaming silence is an indicator of dissatisfaction of position he have now.
 
Baadhi ya misamiati imeingia na kuvuma na kisha kuanza kusahaulika mfano tumbua, majipu kushtukiza n.k. Luna watu nao...
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…