Naamini mtasubiri sanaaaa.....Gwajima ana akili sana, amejua kutengeneza tension, siku akirudi nakuachia video moja tu, ata trend hatar
Kwa hiyo unaauliza swali na kujijibu mwenyewe?Naamini mtasubiri sanaaaa.....
Alishamaliza assigment yake, ana kula mafao yake saa hii........
Naamini hata lile kanisa alilichoka alikuwa anataka kutema nalo.... 🤣
Itakuwa naye amelambishwa asali.Gwajima ana akili sana, amejua kutengeneza tension, siku akirudi nakuachia video moja tu, ata trend hatar
Yupo mzima wa afya, askofu Mwanamapinduzi amethibitisha jana.Itakuwa naye amelambishwa asali.
Labda kasahau kua yeye ndio mleta mada.Kwa hiyo unaauliza swali na kujijibu mwenyewe?
Sasa huyu na wafuasi wake ndio watakao anzisha hayo maandamo siku ya sikuMakanisa Yake Yamafungiwa Yeye Nguvu Atapatia Wap Kilichobaki Nikuanua Matanga!
Na ndio anayeweza kuanzisha maandamano yeye na wafuasi wake, ..Gwajima ana akili sana, amejua kutengeneza tension, siku akirudi nakuachia video moja tu, ata trend hatar
Unalosema Linawezekana Kimya Kingi Kina Mshindo MkubwaSasa huyu na wafuasi wake ndio watakao anzisha hayo maandamo siku ya siku
Rejea maelezo ya mada..Kwa hiyo unaauliza swali na kujijibu mwenyewe?
Ndio kwa kuwa ni Askofu wetu na sisi ni waumini wa Kanisa lake lazima yeye atuokoe maana ndio kaleta haya ya kufungiwa makanisaKwahiyo unataka Gwajima ndio aje akuokoe?
Don't expect someone to fight for you,
Play your part.
Uzi tayari...
Msiniogope....
Tujadili....
Anajitekenya na kucheka mwenyewe😃😃😃Kwa hiyo unaauliza swali na kujijibu mwenyewe?