chamaclotus
JF-Expert Member
- Apr 19, 2019
- 1,146
- 2,338
Huyu member nna muda sijaona comments zake hapa jf. Namkumbuka kwa michango yake hapa jukwaani ila kwa sasa Kawa kimya.
Unavyocheka unaonekana ni uchochezi ujue 😂
Huyo ni rafiki yangu toka kitamboUshampenda sio
Unique FlowerHuyo ni rafiki yangu toka kitambo
Unique FlowerAna ID nyingine,na huitaji kuwa smart sana kuijua
Basi we kaa kwa tuliaa tu utapewa mrejeshoMimi ni dada yake ebu niambie kwanza mnataka kuyajenga niniiiiLamomy fanya ukuje
Hapana Jo, mie nafurahi tyuug,Unavyocheka unaonekana ni uchochezi ujue![]()


