mukama talemwa
Senior Member
- Jun 14, 2011
- 160
- 29
weekend km mbili zilizopita nilimuona pale ze Calabash pub Mwenge alikuwa na mkewe wanagonga vitu..!
Badili avator yako jamani
yuko channel 10 ameajiriwa
Yuko wapi huyu jamaa baada ya kushinda kesi yake,au sheria inasemaje si anatakiwa kurudishwa kazini?Huyu jamaa angesaidia saana kufichua madhambi na uozo wa idara mbalimbali za serikali na idara zake.
yupo na wife wake cjui mmarekan yule au mwingereza lakin kizungu kidada kikali vibaya.
weekend km mbili zilizopita nilimuona pale ze Calabash pub Mwenge alikuwa na mkewe wanagonga vitu..!
yule ni mixer ya mzungu na mnyarwandaYupo na wife wake cjui mmarekan yule au mwingereza lakin kizungu kidada kikali vibaya.
yule ni mixer ya mzungu na mnyarwanda
Real? daaa! jamaa namkubali sana, but TBC cjui vp,taratibu c ziko wazi mtu akiwa na kesi analipwa nusu mshahara hadi hukumu itoke? kama kashinda analipwa malimbikizo ya ile nusu yote kwa miezi yote kisha anaendelea na kazi kama kawa?
Mkataba wake uliisha kabla ya hukumu..
jerry kaoa mchaga