darcity
JF-Expert Member
- Jul 20, 2009
- 8,730
- 16,963
Yuko Mureba kwenye te te me ko kusaidia wahanga
Huyu jamaa kwa kweli huwa simkubali kabisa kabisa, nasubiri huo uchaguzi mwakani nione kama atapita
HahahahaaAsipopita tena kuwa Rais wa TFF mwakani naachia ' haja kubwa ' pale Posta Askari Monument mchana kweupe tena nikiwa ' mubashara ' kabisa Mkuu.
Atapita si anapanga watu wakeHuyu jamaa kwa kweli huwa simkubali kabisa kabisa, nasubiri huo uchaguzi mwakani nione kama atapita
Anaongoza TFF kishabiki sana anazidi kudidimiza soka letuHuyu jamaa kwa kweli huwa simkubali kabisa kabisa, nasubiri huo uchaguzi mwakani nione kama atapita