Yuko wapi Godlisten Malisa?

Ingawapo uzi unahusu uwepo wa mtu niseme tu huyu NINJA NI HATARI SANA, aanzishe issue halafu awaambie watu waachane nayo. Mtafuteni Dr. Abbas alitolee hili maelezo kwani NINJA haeleweki kabisa ameshindwa kufanya kazi kimya kimya kabisa.
Hahaha Ninja anazingua sana
 
Jamani hawa nyoka wa Kijani ukiona wanaulizauliza jua kuna jambo. Juzi tulisikia alikuwa anataka kutekwa nadhani kuna Uzi humu. Lakini pia bado sijasahau movie ya kupotea kwa Ben Saa Nane isijekuwa yameshampata GMalisa kama kuna mwenye info japo aseme yupo salama
 
Back
Top Bottom