Yuko wapi Godlisten Malisa?

MISULI

JF-Expert Member
Jan 15, 2014
7,826
5,451
Habari Wanajukwaa.

Ni miezi kadhaa imepita Bila kusikia au kuona uchambuzi wa maswala ya kisiasa kutoka Kwa kada huyu mtiifu wa Chadema, Malisa Godlisten

Ilikuwa hakuna Jambo lisilompita, Yuko wapi huyu kada au nini kimempata?
 
sasa hivi anachambua udaku juzi kachambua kuhusu yule dada aliyefiwa na mtoto nani sijui wana mwita

Chezea magu wewe haaa haaa
 
upload_2018-7-22_11-26-36.png
mbona ka alishavua magwanda kimya kimyaaaa
 
utasikia na yeye anajiuzulu kisa mgogoro na viongozi wake.siku hizi kila anaejiuzulu chadema anasema kagombana na viongozi,kuna nini huko kwa mfalme mbowe?
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom