Yuko wapi FreeMan Mbowe kamanda wa anga?

🤣🤣🤣.NYUMBU wa lisu hamna HOJA MKIBANWA KIDOGO MKIMBILIA MATUSI.mnaonyesha ni jinsi gani Sasa hivi chadema imebakiwa na wahuni.
Wahuni wameuza bandari wapate pesa ya kununua baiskel,
Wahuni wameteka zaidi ya Watanganyika 200,
Wahuni wameuza Ngorongoro
Wahuni wamefisadi nchi
Wahuni wameuza CCM yote mfukoni Kwa wahuni
 
Wahuni wameuza bandari wapate pesa ya kununua baiskel,
Wahuni wameteka zaidi ya Watanganyika 200,
Wahuni wameuza Ngorongoro
Wahuni wamefisadi nchi
Wahuni wameuza CCM yote mfukoni Kwa wahuni
Bora hao kuliko NYIE msiojua kujenga hoja kutetea chama chenu.
 
Hii hoja utatukanwa weeee
Maana umetumia hoja kubwa katikati ya watu wanaofikiria ujinga..
Fuatilia uone...kama wanaompinga mbowe ukawapa hoja hii we sahau kujibiwa kwa hoja
 
Hoja utaielewa hapo ushahongwa wali na tshirts unasubiri Bashite ashinde akuletee Vandame ukenue hiyo minjino ya njano
sawa mwanachama wa chadema.
Kila la kheri kwenye ukombozi wa nchi hii .naamini Kwa matusi yenu mtaingia ikulu.
 
Mbowe yupo anabunya tu ile b12 aliyopewa kumzuia Lissu asichaguliwe kuwa mwenyekiti yeye alitumia m300 tu hivyo b11.7 iko kwenye account yake.
 
Unajua mtu mlevi akiwa mwizi ni hatari sana, ndo yake yale ya Ntu wa kazi.
 
The funny part wanaomtetea Mbowe sasa hivi ni hawa chawa wa bi Urojo.
Fuatilia hii thread na utaliona hilo crystal clear.
 
Mbowe
Mbowe hawezi kupandisha chama ila wananchi ndo wanaweza kupandisha chama ndo maana Mbowe wamemkataa unavyosema CUF ilikua zaidi ya unajua population ya kipindi kile na sasa ni tofauti kama hujui hata population maana yake hatuwezi kubishana population ya miaka hiyo Naweza KUSEMA CUF bado cha mtoto
 
Mpuuzi yule.katuchelewesha sana ana roho mbaya sana
Akili za kushikiwa ni shida. Ati Mbowe kawachelewesha!! Haya Sasa mmewahi. Chama hakitakuwa na diwani Wala mbunge Kwa miaka mitano ijayo huko ndio kuwahi🤣🤣🤣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…