Yuko wapi Fina Mango...

Lavit

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2011
Posts
16,309
Reaction score
37,709
Huyu mwanamama sijamsikia muda mrefu...
Nimesikia kibao chake cha Shoga hapa kikanirudisha mbali sana..

Vipi kwa sasa yupo wapi na anafanya nini?

Uzi tayari!
 
Mara ya mwisho tulikutana Arusha alikuja kama Kiongozi wa Chama cha mpira wa Tenis.
 
Huyu mwanamama sijamsikia muda mrefu...
Nimesikia kibao chake cha Shoga hapa kikanirudisha mbali sana..

Vipi kwa sasa yupo wapi na anafanya nini?

Uzi tayari!
ni secretary wa January makamba
 
Tangia Aondoke Kwenye Powerbreakfast pale Mawingu FM na Masoud Kipanya sijuagi alipo.
 
Kwani huyo F. Mango ni mama wa Taifa hadi wote tumfahamu! ???

Weka picha mzee baba
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…