safari hii hapa tutaheshimiana tu, kwanza mimi nitaanza na baba yao maxence melo huyu ni wa kushusha mshipa kwanza halafu hatuwa zingine zitafuata.
ndo mm! sa hv nmekua m2 mzma excel kanikuza
mkuu kuna mods hapa wana beef na fitna natembeza harambee nimlete mganga kutoka lamu ana uwezo wa kuroga online, mtu kama paw adhabu yake pumb.u zinahamishiwa kwenye paji la uso.
aliaga anaenda wapi kwani
aliaga anaenda wapi kwani
Mhhh miss neddy.. Aliekuambia ng'ombe anazeeka maini ni nani..? Asprin ana nguvu kuliko vijana mia ukiwake pamoja.. Mtafutie sababu nyingine lol..
Babu Asprin matusi haya sasa lol..
Amekosa avatar za kubadilisha..maana hakawii kila baada ya dk 10 kuja na avatar mpya...nahakika atarudi kwa kishindo..
we mwanaume unajitahidi kunifungia vioo! Mekumiss lakini
miss neddy cha mttOooih kwa hiyo wewe na miss neddy mtu na mke mwenziwe kwa king
miss neddy cha mtt