YUKO WAPI DOKTA MANGURUWE?

YUKO WAPI DOKTA MANGURUWE?

Ndio ubaya wa maisha ya kiki na umaarufu.
Angepiga hela kimyakimya hata wasingemshtukia.
Na yule jamaa anayejiita chief ipo siku naye watambananisha aonyeshe ushahidi wa kazi inayomuingizia kipato,sasa hivi wanajifanya kama hawamuoni ili aendelee kujianika zaidi
Jamaa janja lile ndo maana limeunga mkono juhudi maana anajua akibugi step atawashiwa moto.
 
Ndio ubaya wa maisha ya kiki na umaarufu.
Angepiga hela kimyakimya hata wasingemshtukia.
Na yule jamaa anayejiita chief ipo siku naye watambananisha aonyeshe ushahidi wa kazi inayomuingizia kipato,sasa hivi wanajifanya kama hawamuoni ili aendelee kujianika zaidi
Sasa angepataje pesa za wajinga bila kiki
 
Back
Top Bottom