Yuko wapi Dkt. Harrison Mwakyembe Msomi aliyekuwa akiwazodoa wanaCCM ambao hawajaenda shule?

Wasikudanganye mwamba ubunge ndio kila kitu kwao ndio maana huwa wako tiari kuua kuwanga kujeruhi na machukizo mengine wakati wa kampeni
Ubunge ndo kila kitu ndo maana wanaacha hata ukuu wa wilaya na mkoa wanakimbilia ubunge ,ndo maana wanaiba hadi kura na kuua watu
 
Amekuwa kimya sana na wala hasikiki kabisa.

Alikuwa na mbwembwe na majivuno alipokuwa akijieleza wakati wa kura za maoni za Ccm lakini wanaCcm wenzake walimlambisha mchanga.

Where is he?
Wewe ni mwana CCM mwenzake na unajua alipo
 
Back
Top Bottom