uko sahihi,, mimi namfatiliaga sana, coz ananipa changamoto nisibweteke,, yaani nikipita kwenye page yake sikosi kujifunza kitu,, anapiga kazi huku akiwa smart apeaence adi raha,,,

Huyu cerebrty mara ya mwisho kupost ni may 9 2022. Followers wake tulishazoea kupata habari motomoto hasahasa tangu apate u DC ila hivi sasa ukimya wake ndani ya mwezi bila post kunani?