Yuko wapi DC Albert Mnali aliyechapa viboko walimu wazembe?

johnthebaptist

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2014
Posts
104,319
Reaction score
183,636
Nilimfahamu Albert Mnali tangu akiwa karani wa bunge pale Dodoma na baadae DC Njombe na Bukoba. Tangu tukio lile la kuwachapa viboko walimu wale wazembe na kusimamishwa kazi sijamsikia tena. Ndio nauliza yuko wapi mjeshi yule alihitajika sana zama hizi za hapa kazi tu hakuna mchezo mchezo!
 
Sinasikia Waziri mkuu wa sasa nae alishafanya hvyo, au ni stori za mtaani tu?
Hata mimi nasikia. ila huyu Mnali atakuwa aliiga kwa mkuu mmoja wa mkoa aliyeitwa Tumainiel Kiwelu (alikuwa mwanajeshi) alikuwa akiwachapa bakora walimu wakuu mbele ya wanafunzi. Huko Shinyanga kuna mwalimu mkuu mmoja aliomba kuhamishwa shule vinginevyo ataacha kazi kwa kuwa alikuwa anataniwa sana baada ya kuchapwa bakora mbele ya wanafunzi...
 
Nilimfahamu Albert Mnali tangu akiwa karani wa bunge pale Dodoma na baadae DC Njombe na Bukoba. Tangu tukio lile la kuwachapa viboko walimu wale wazembe na kusimamishwa kazi sijamsikia tena. Ndio nauliza yuko wapi mjeshi yule alihitajika sana zama hizi za hapa kazi tu hakuna mchezo mchezo!
Kwa kumbukumbu zangu, kabla hajawa mkuu wa wilaya Bukoba, alikuwa pale Geita kama mkuu wa wilaya.
 
Hata mimi nasikia. ila huyu Mnali atakuwa aliiga kwa mkuu mmoja wa mkoa aliyeitwa Tumainiel Kiwelu (alikuwa mwanajeshi) alikuwa akiwachapa bakora walimu wakuu mbele ya wanafunzi. Huko Shinyanga kuna mwalimu mkuu mmoja aliomba kuhamishwa shule vinginevyo ataacha kazi kwa kuwa alikuwa anataniwa sana baada ya kuchapwa bakora mbele ya wanafunzi...
Hahah!! Haya mambo unawezakuona kama ni vichekesho ila kumbe ndio ukweli huo
 
Nilipata bahati ya kukutana naye ana kwa ana mwaka 2014 kwenye shughuli ya kijamii mkoa mmojawapo wa kusini.
 
Nilimfahamu Albert Mnali tangu akiwa karani wa bunge pale Dodoma na baadae DC Njombe na Bukoba. Tangu tukio lile la kuwachapa viboko walimu wale wazembe na kusimamishwa kazi sijamsikia tena. Ndio nauliza yuko wapi mjeshi yule alihitajika sana zama hizi za hapa kazi tu hakuna mchezo mchezo!
Kawaulize wana ccm wenzako sisi wengine tupo busy kujitafutia mkate wetu wa kila siku
 
Back
Top Bottom