impongo
JF-Expert Member
- Feb 18, 2015
- 8,846
- 7,904
Huyu alikuwa kichaa alishawahi kunipa masaa 2 niondoe kifusi barabarani au ni kisambaze huku mvua inanyesha na ilikuwa trip 450 na kama akikikuta nijipeleke lockup mwenyewe anikuteHata mimi nasikia. ila huyu Mnali atakuwa aliiga kwa mkuu mmoja wa mkoa aliyeitwa Tumainiel Kiwelu (alikuwa mwanajeshi) alikuwa akiwachapa bakora walimu wakuu mbele ya wanafunzi. Huko Shinyanga kuna mwalimu mkuu mmoja aliomba kuhamishwa shule vinginevyo ataacha kazi kwa kuwa alikuwa anataniwa sana baada ya kuchapwa bakora mbele ya wanafunzi...