Shark JF-Expert Member Joined Jan 25, 2010 Posts 29,932 Reaction score 30,045 Feb 3, 2021 #81 PROF NDUMILAKUWILI said: Mdogo wetu huyu,huku kitaa tunamwita Mr.Sahani. Click to expand... Innocent
Kapeace JF-Expert Member Joined May 26, 2017 Posts 25,624 Reaction score 69,372 Feb 3, 2021 #82 pyopy said: Kuna Ngoma inaitwa "ingewezekana" daaah siwezi isahau Hadi sasa ninayo Kwa simu yangu Sent from my Nokia 2.3 using JamiiForums mobile app Click to expand... Upandishe jukwaani Basi mkuu naupenda nimeshautafuta sana
pyopy said: Kuna Ngoma inaitwa "ingewezekana" daaah siwezi isahau Hadi sasa ninayo Kwa simu yangu Sent from my Nokia 2.3 using JamiiForums mobile app Click to expand... Upandishe jukwaani Basi mkuu naupenda nimeshautafuta sana
Ncha Kali JF-Expert Member Joined Sep 19, 2019 Posts 15,400 Reaction score 29,339 Feb 4, 2021 #83 Hammaz said: Huyu mwamba bana! Halafu nyimbo yake ya elimu mtaani anaenda kwa manzi wake geti anahodisha kwa kuligonga na jiwe! Ile geti kufunguliwa anapishana na msela ametoka kumgonga manzi wake! Jamaa anaona isiwe kesi anampora pesa manzi wake halafu anasepa! Click to expand... Tatizo lake ni mama huruma, anamaindi kujivinjari na vingi visupa staa! Sasa hivi adabu anayo, tangu anikute na mdogo wake wa mwisho mi namrukia juu ya kitanda cha mama yao wa kambo! Uhh AAHH!!
Hammaz said: Huyu mwamba bana! Halafu nyimbo yake ya elimu mtaani anaenda kwa manzi wake geti anahodisha kwa kuligonga na jiwe! Ile geti kufunguliwa anapishana na msela ametoka kumgonga manzi wake! Jamaa anaona isiwe kesi anampora pesa manzi wake halafu anasepa! Click to expand... Tatizo lake ni mama huruma, anamaindi kujivinjari na vingi visupa staa! Sasa hivi adabu anayo, tangu anikute na mdogo wake wa mwisho mi namrukia juu ya kitanda cha mama yao wa kambo! Uhh AAHH!!
hearly JF-Expert Member Joined Jun 19, 2014 Posts 51,534 Reaction score 73,796 Feb 4, 2021 #84 Hammaz said: Huyu mwamba bana! Halafu nyimbo yake ya elimu mtaani anaenda kwa manzi wake geti anahodisha kwa kuligonga na jiwe! Ile geti kufunguliwa anapishana na msela ametoka kumgonga manzi wake! Jamaa anaona isiwe kesi anampora pesa manzi wake halafu anasepa! Click to expand...
Hammaz said: Huyu mwamba bana! Halafu nyimbo yake ya elimu mtaani anaenda kwa manzi wake geti anahodisha kwa kuligonga na jiwe! Ile geti kufunguliwa anapishana na msela ametoka kumgonga manzi wake! Jamaa anaona isiwe kesi anampora pesa manzi wake halafu anasepa! Click to expand...
hearly JF-Expert Member Joined Jun 19, 2014 Posts 51,534 Reaction score 73,796 Feb 4, 2021 #85 troublemaker said: Sidhani. Unaimbwa hv Kitu gani umemind, Nishakusoma machoni, Hii karne ya uwazi babe. D knob(niambie) Click to expand... Style ya kudhani para langu kichwani .................. Hatari sana
troublemaker said: Sidhani. Unaimbwa hv Kitu gani umemind, Nishakusoma machoni, Hii karne ya uwazi babe. D knob(niambie) Click to expand... Style ya kudhani para langu kichwani .................. Hatari sana
hearly JF-Expert Member Joined Jun 19, 2014 Posts 51,534 Reaction score 73,796 Feb 4, 2021 #86 Dumas the terrible said: Duu huyu mwamba aliua kwenye nishike mkono ft Mwasiti ngoma Kali sana! Click to expand... Hajawahi kuharibu Tangu enzi za mtaani .com Sauti ya gharama . Nishike mkono . Kitu gani ft q Jay Jamaa anajua Sana ila ndio hivyo soko la muziki wa tz Ni faken
Dumas the terrible said: Duu huyu mwamba aliua kwenye nishike mkono ft Mwasiti ngoma Kali sana! Click to expand... Hajawahi kuharibu Tangu enzi za mtaani .com Sauti ya gharama . Nishike mkono . Kitu gani ft q Jay Jamaa anajua Sana ila ndio hivyo soko la muziki wa tz Ni faken
NkumbiSon JF-Expert Member Joined Sep 22, 2013 Posts 2,526 Reaction score 3,563 Feb 5, 2021 #87 Wengi wenaisahau au hawaijui kabisa ila ndio iliyomtambulisha D kwenye game chini ya mikono Salama ya MIKA MWAMBA SUKAH said: Hii ngoma kali sana mzee Click to expand...
Wengi wenaisahau au hawaijui kabisa ila ndio iliyomtambulisha D kwenye game chini ya mikono Salama ya MIKA MWAMBA SUKAH said: Hii ngoma kali sana mzee Click to expand...
Prince Kunta JF-Expert Member Joined Mar 27, 2014 Posts 22,869 Reaction score 29,031 Feb 5, 2021 #88 nguvu said: Bado hakuna aliyetaja alipo Click to expand... Yupo kiwalani
PAGAN JF-Expert Member Joined Aug 19, 2014 Posts 13,287 Reaction score 22,186 Feb 6, 2021 #89 cosmonaut said: Unaitwa Bora tumeacha, mwenye linki ya kui download au anayo aipandishe hapa basi...... Click to expand... Mkuu unaweza uka download wimbo wowote unaotaka kwenye simu au laptop kutoka youtube au source nyingine kupitia website tu
cosmonaut said: Unaitwa Bora tumeacha, mwenye linki ya kui download au anayo aipandishe hapa basi...... Click to expand... Mkuu unaweza uka download wimbo wowote unaotaka kwenye simu au laptop kutoka youtube au source nyingine kupitia website tu
PAGAN JF-Expert Member Joined Aug 19, 2014 Posts 13,287 Reaction score 22,186 Feb 6, 2021 #90 chokodari said: Rafiki sana wa mwasit navyosikia na hata mwasiti alisema d knob ameokoka na anahubiri neno kwa sasa so mwacheni mtu wa mungu Click to expand... Basi atakuwa kachanyikiwa au anataka kuibia watu.
chokodari said: Rafiki sana wa mwasit navyosikia na hata mwasiti alisema d knob ameokoka na anahubiri neno kwa sasa so mwacheni mtu wa mungu Click to expand... Basi atakuwa kachanyikiwa au anataka kuibia watu.
OllaChuga Oc JF-Expert Member Joined Jul 4, 2016 Posts 21,932 Reaction score 25,245 Feb 6, 2021 #92 cosmonaut said: Ni ku pm WhatsApp # unitumie Click to expand... Ni pm mkuu
OllaChuga Oc JF-Expert Member Joined Jul 4, 2016 Posts 21,932 Reaction score 25,245 Feb 6, 2021 #93 nkumbison said: Wengi wenaisahau au hawaijui kabisa ila ndio iliyomtambulisha D kwenye game chini ya mikono Salama ya MIKA MWAMBA Click to expand... Hivi Mika Mwamba alikuwa mzungu ee
nkumbison said: Wengi wenaisahau au hawaijui kabisa ila ndio iliyomtambulisha D kwenye game chini ya mikono Salama ya MIKA MWAMBA Click to expand... Hivi Mika Mwamba alikuwa mzungu ee
NkumbiSon JF-Expert Member Joined Sep 22, 2013 Posts 2,526 Reaction score 3,563 Feb 6, 2021 #94 Ollachuga Oc said: Hivi Mika Mwamba alikuwa mzungu ee Click to expand... Ya man. Mzungu wa Finland.
Ncha Kali JF-Expert Member Joined Sep 19, 2019 Posts 15,400 Reaction score 29,339 Feb 6, 2021 #95 Sauti yangu ya gharama ni kama sumaku hivi, inaleta marafiki, inaleta maadui. Iko mzigoni kutokana na Elimu Mitaani, niliwaingiza darasani sasa nawapa burudani! Uuh khhaaaa!!!
Sauti yangu ya gharama ni kama sumaku hivi, inaleta marafiki, inaleta maadui. Iko mzigoni kutokana na Elimu Mitaani, niliwaingiza darasani sasa nawapa burudani! Uuh khhaaaa!!!