Nafaka JF-Expert Member Joined Feb 17, 2015 Posts 12,157 Reaction score 31,334 Jan 20, 2021 #1 Huyu jamaa ni kipindi saa yuko kimya, nilikuwa naelewa sana ngoma zake kama elimu mtaani dot com, na nishike mkono. Jamaa alikuwa mgumu sana katika kila kitu mpaka lifestyle lake, ila ni ipindi sasa sijamsikia. Anayejua kama bado yu hai tafadhali.
Huyu jamaa ni kipindi saa yuko kimya, nilikuwa naelewa sana ngoma zake kama elimu mtaani dot com, na nishike mkono. Jamaa alikuwa mgumu sana katika kila kitu mpaka lifestyle lake, ila ni ipindi sasa sijamsikia. Anayejua kama bado yu hai tafadhali.
Perfectz JF-Expert Member Joined May 17, 2017 Posts 9,568 Reaction score 29,666 Jan 20, 2021 #2 BORA TUMEACHANA D knob feat Q jay,bonge moja la ngoma
for life JF-Expert Member Joined Sep 22, 2014 Posts 3,397 Reaction score 4,440 Jan 20, 2021 #3 Alipotea akatusurprise na ngoma ya nisheke mkono nikasema burudani si ndo hii Sasa imerejea kwenye report za mtaa
Alipotea akatusurprise na ngoma ya nisheke mkono nikasema burudani si ndo hii Sasa imerejea kwenye report za mtaa
mkorea JF-Expert Member Joined Aug 16, 2016 Posts 8,582 Reaction score 19,226 Jan 20, 2021 #5 Mitaani most wanted
Torque vs HP JF-Expert Member Joined Jan 7, 2021 Posts 1,768 Reaction score 5,087 Jan 20, 2021 #6 Huaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa.
Vhagar JF-Expert Member Joined Jun 8, 2015 Posts 20,773 Reaction score 40,444 Jan 20, 2021 #7 Kuna ngoma inaitwa kitu gani yuko na Q jay iko vyema sana.
Deejay nasmile JF-Expert Member Joined Nov 8, 2011 Posts 5,817 Reaction score 5,403 Jan 20, 2021 #8 Yupo google
minji JF-Expert Member Joined Sep 2, 2016 Posts 2,750 Reaction score 4,948 Jan 20, 2021 #9 Mzee wa upara
K Kaka madenge JF-Expert Member Joined Jan 16, 2021 Posts 312 Reaction score 574 Jan 20, 2021 #10 Nadhani atakuwa kwao
PROF NDUMILAKUWILI JF-Expert Member Joined Mar 25, 2016 Posts 10,518 Reaction score 13,178 Jan 20, 2021 #11 Mdogo wetu huyu,huku kitaa tunamwita Mr.Sahani.
Hammaz JF-Expert Member Joined May 16, 2018 Posts 7,033 Reaction score 15,320 Jan 20, 2021 #12 Narudi nyumbani namkuta mama kibarazani Huku niko bwaataa halafu na chupa ya Krest mfukoni Huu Ahhhh!!!! Sura amekunja eti staki school kisa afande Mkiza ananiburuza kwenye madawati Hu Ahhhh!
Narudi nyumbani namkuta mama kibarazani Huku niko bwaataa halafu na chupa ya Krest mfukoni Huu Ahhhh!!!! Sura amekunja eti staki school kisa afande Mkiza ananiburuza kwenye madawati Hu Ahhhh!
Hammaz JF-Expert Member Joined May 16, 2018 Posts 7,033 Reaction score 15,320 Jan 20, 2021 #13 PROF NDUMILAKUWILI said: Mdogo wetu huyu,huku kitaa tunamwita Mr.Sahani. Click to expand... Kuna igizo moja aliigiza ana bifu na crew ya kina Banana Zoro! Alianzisha timbwili alikula vitasa mzee kesho yake asubuhi anajikanda na maji ya baridi kwenye taya!
PROF NDUMILAKUWILI said: Mdogo wetu huyu,huku kitaa tunamwita Mr.Sahani. Click to expand... Kuna igizo moja aliigiza ana bifu na crew ya kina Banana Zoro! Alianzisha timbwili alikula vitasa mzee kesho yake asubuhi anajikanda na maji ya baridi kwenye taya!
Hammaz JF-Expert Member Joined May 16, 2018 Posts 7,033 Reaction score 15,320 Jan 20, 2021 #14 Huyu mwamba bana! Halafu nyimbo yake ya elimu mtaani anaenda kwa manzi wake geti anahodisha kwa kuligonga na jiwe! Ile geti kufunguliwa anapishana na msela ametoka kumgonga manzi wake! Jamaa anaona isiwe kesi anampora pesa manzi wake halafu anasepa!
Huyu mwamba bana! Halafu nyimbo yake ya elimu mtaani anaenda kwa manzi wake geti anahodisha kwa kuligonga na jiwe! Ile geti kufunguliwa anapishana na msela ametoka kumgonga manzi wake! Jamaa anaona isiwe kesi anampora pesa manzi wake halafu anasepa!
Me I and my self JF-Expert Member Joined Sep 16, 2016 Posts 4,084 Reaction score 8,855 Jan 20, 2021 #15 troublemaker said: Kuna ngoma inaitwa kitu gani yuko na Q jay iko vyema sana. Click to expand... Nambie.....
troublemaker said: Kuna ngoma inaitwa kitu gani yuko na Q jay iko vyema sana. Click to expand... Nambie.....
King Kong III JF-Expert Member Joined Oct 15, 2010 Posts 60,374 Reaction score 88,609 Jan 20, 2021 #16 Nafaka said: Huyu jamaa ni kipindi saa yuko kimya, nilikuwa naelewa sana ngoma zake kama elimu mtaani dot com, na nishike mkono. Jamaa alikuwa mgumu sana katika kila kitu mpaka lifestyle lake, ila ni ipindi sasa sijamsikia. Anayejua kama bado yu hai tafadhali. Click to expand... Uhaaa nasonga kwa stimu na ndoto kedee ,waambie D.
Nafaka said: Huyu jamaa ni kipindi saa yuko kimya, nilikuwa naelewa sana ngoma zake kama elimu mtaani dot com, na nishike mkono. Jamaa alikuwa mgumu sana katika kila kitu mpaka lifestyle lake, ila ni ipindi sasa sijamsikia. Anayejua kama bado yu hai tafadhali. Click to expand... Uhaaa nasonga kwa stimu na ndoto kedee ,waambie D.
Nafaka JF-Expert Member Joined Feb 17, 2015 Posts 12,157 Reaction score 31,334 Jan 20, 2021 Thread starter #17 PROF NDUMILAKUWILI said: Mdogo wetu huyu,huku kitaa tunamwita Mr.Sahani. Click to expand... Kwanini mkuu, yuko sawa?
PROF NDUMILAKUWILI said: Mdogo wetu huyu,huku kitaa tunamwita Mr.Sahani. Click to expand... Kwanini mkuu, yuko sawa?
Superbug JF-Expert Member Joined Jan 31, 2018 Posts 15,822 Reaction score 40,332 Jan 20, 2021 #18 D knob ni Kati ya bongo flavor legendary wanaopendwa Sana.
PROF NDUMILAKUWILI JF-Expert Member Joined Mar 25, 2016 Posts 10,518 Reaction score 13,178 Jan 20, 2021 #19 Nafaka said: Kwanini mkuu, yuko sawa? Click to expand... yuko sawa,D knob ni nickname jina lake kamili ni Innocent Sahani.
Nafaka said: Kwanini mkuu, yuko sawa? Click to expand... yuko sawa,D knob ni nickname jina lake kamili ni Innocent Sahani.
PROF NDUMILAKUWILI JF-Expert Member Joined Mar 25, 2016 Posts 10,518 Reaction score 13,178 Jan 20, 2021 #20 King Kong III said: Uhaaa nasonga kwa stimu na ndoto kedee ,waambie D. Click to expand... Ngoma yake hiyo ilikuwa na Verse moja.
King Kong III said: Uhaaa nasonga kwa stimu na ndoto kedee ,waambie D. Click to expand... Ngoma yake hiyo ilikuwa na Verse moja.