Yuko wapi Cyprian Majura Musiba?

Wanaishi kama digidigi nchini mwao. Mungu awasamehe sana hawakujua walitendalo
 
Labuda ni hausi boyi wa mbeme maana mbeme alimwambia kama atakosa hela ya kumlipa(baada ya mahakama kutangaza msuba amlipe)mbeme alimwambia akikosa hiyo hela aende homu kwake atampa kazi ya kufanya
 
Huyu ndugu kama kujichimbia basi anajua kujichimbia. Hakuna hata mtu anayemnasa lwa picha huko mtaani? Au alitokomea nchi za nje
 
Huyu ndugu kama kujichimbia basi anajua kujichimbia. Hakuna hata mtu anayemnasa lwa picha huko mtaani? Au alitokomea nchi za nje
Mbona alishanaswa na video iliwekwa humu akilia kwa nyumba yake kupigwa mnada !
 
Yuko anapiga jembe kijijini kwao huko mkoani Mara.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…