watu kama wale hawawezi kupewa nafasi ,maana ukimpa nafasi siku ikitoka kwenye cheo atakutukana na kukudhalilisha, kwahiyo only way ni kumpotezea mazimaKuna kipindi alitaka kurudi akapotezewa, alianza kumsifu mama na kusema yuko tayari kumlinda.
Hilo ni tatizo la dunia yote siyo Tanzania tu.Na mfumuko wa bei juu
Yuko pembeni mwa kaburi la mwendazakeNdugu wadau
Wote tunamkumbuka ndugu Musiba alivyokuwa mzungumzaji enzi za Mwendazake. Enzi za Mwendazake Musiba alikuwa Katibu Msaidizi wa Bashiru Ally, Msaidizi wa Katibu mwenezi wa Polepole. Tangu Mwendazake aende na Ndugu Membe kumpeleka mahakamani kwamba alimchafua.
Huyu nguli Yuko wapi maaana Kawa kimya sana na Wala Yale magazeti yake ya Tanzanite yamekuwa adimu sanaaa'
Unajua ilikuwa bei gani? Aliambiwa na Mahakama amlipe Membe 7B Tshs. Sijui kama anazo na jana Membe karudi CCM kwa kishindo kwa kupewa kadi mpya ya CCM na kwa hali hiyo Musiba itabidi ahamie Kenya tu!Je alikwishamlipa Mhe. Membe fidia yake kwa ajili ya kumchafua?.
Zitto Kabwe aliwatolea uvivu wanaodai kuwa na mahaba na JPM akasema, "WANAO MPENDA MAGUFULI WAKAZIKWE NAYE CHATO!" Mwisho wa kunukuu!
Haya matozo huyaoni? Jinga weee.Lakini mlimuunga mkono. Sema sasahivi ndio mnapata akili. Wakati ule mlikuwa hamuambiwi kitu.
Rais Samia yeye kajifunza, kaona pesa na mali ni vitu vya kupita, ajira ametoa, mishara kapandisha na Malupu lupu juu.
Tunasubiri Katiba Mpya tu baasi.
Nguvu ya mamba iko kumayiNdugu wadau
Wote tunamkumbuka ndugu Musiba alivyokuwa mzungumzaji enzi za Mwendazake. Enzi za Mwendazake Musiba alikuwa Katibu Msaidizi wa Bashiru Ally, Msaidizi wa Katibu mwenezi wa Polepole. Tangu Mwendazake aende na Ndugu Membe kumpeleka mahakamani kwamba alimchafua.
Huyu nguli Yuko wapi maaana Kawa kimya sana na Wala Yale magazeti yake ya Tanzanite yamekuwa adimu sanaaa'
Alitaka kumshughulikia Membe? Yaani mtu akila akashiba bwana. Sijui alikuwa amechanganyikiwaDah uchawa wa Musiba ulizidi, Hadi yani alikua kama ninkwenye mamlaka ya kumfanya chochote yeyote wakati wowote,
Taahira yule! Chawa wa Jiwe!Alitaka kumshughulikia Membe? Yaani mtu akila akashiba bwana. Sijui alikuwa amechanganyikiwa
Hahaha alikuwa na konection kubwa ya UhakikaTaahira yule! Chawa wa Jiwe!
Aombe tu radhi ila asisamehewe
🤣🤣🤣🤣ombea hirizi ipotee ila sio mganga afe