You know what happened to Musiba? Itakuwa na yeye amepatwa na musiba baada ya musiba wa mwenda zake!Ndugu wadau wote tunamkumbuka ndugu Musiba alivyokuwa mzungumzaji enzi za Mwendazake. Enzi za Mwendazake Musiba alikuwa Katibu Msaidizi wa Bashiru Ally, Msaidi wa Katibu mwenezi wa Polepole. Tangu Mwendazake aende na Ndugu Membe kumpeleka mahakamani kwamba alimchafua. Huyu nguli Yuko wapi maaana Kawa kimya sana na Wala Yale magazeti yake ya Tanzanite yamekuwa adimu sanaaa'
Musiba Kama jina lake ni Msiba wa taifa, kuwa na watu wachumia tumbo Kama yeye na Paschal ni hatari sana kwa taifa lolote. Tunaomba Mungu aliko kwenda Mungu wao na wao wafuate. Maana Maandiko yanasema amelaaniwa mtu yule amtegemea mwanadamu na kumfanya kuwa Kinga yake. Nasi Kama taifa tunauliza Mungu kwa nini kutuachia walaaniwa hawa wakiwa hai hata sasa.Ndugu wadau wote tunamkumbuka ndugu Musiba alivyokuwa mzungumzaji enzi za Mwendazake. Enzi za Mwendazake Musiba alikuwa Katibu Msaidizi wa Bashiru Ally, Msaidi wa Katibu mwenezi wa Polepole. Tangu Mwendazake aende na Ndugu Membe kumpeleka mahakamani kwamba alimchafua. Huyu nguli Yuko wapi maaana Kawa kimya sana na Wala Yale magazeti yake ya Tanzanite yamekuwa adimu sanaaa'
Kuna clip nimeiona juzi akiwa analia. Sijui ni video ya kuchonga au kweliNdugu wadau wote tunamkumbuka ndugu Musiba alivyokuwa mzungumzaji enzi za Mwendazake. Enzi za Mwendazake Musiba alikuwa Katibu Msaidizi wa Bashiru Ally, Msaidi wa Katibu mwenezi wa Polepole. Tangu Mwendazake aende na Ndugu Membe kumpeleka mahakamani kwamba alimchafua. Huyu nguli Yuko wapi maaana Kawa kimya sana na Wala Yale magazeti yake ya Tanzanite yamekuwa adimu sanaaa'
😀😀ombea hirizi ipotee ila sio mganga afe
Duh....ombea hirizi ipotee ila sio mganga afe
Julius Nyerere alisema kuna dhambi zingine adhabu yake iko ndani ya kitendo haisubiri. Musiba anatafunwa na dhambi ya kutukana wazee mithili ya wazazi wake.Musiba Kama jina lake ni Msiba wa taifa, kuwa na watu wachumia tumbo Kama yeye na Paschal ni hatari sana kwa taifa lolote. Tunaomba Mungu aliko kwenda Mungu wao na wao wafuate. Maana Maandiko yanasema amelaaniwa mtu yule amtegemea mwanadamu na kumfanya kuwa Kinga yake. Nasi Kama taifa tunauliza Mungu kwa nini kutuachia walaaniwa hawa wakiwa hai hata sasa.
Hata mimi niliiona ila niliona kama ina walakini hivi. All in all, popote alipo yuko kwenye hali mbaya sana. Nina uhakika hata unyasi ukidondoka kwenye bati la nyumba aliyopo ni lazima anajamba. Unajua utawala wa sasa umeamua kumpa adhabu mbaya sana i.e. wanamwacha afe kwa kiroho na wasiwasi. Muda wote ana wasiwasi, hajui ni nini kitafuata kesho yake.Kuna clip nimeiona juzi akiwa analia. Sijui ni video ya kuchonga au kweli
Kweli kabisa,Sijui itakuwaje baadaye yake, sijui arudi Kwa style ipi Uringoni:Hata mimi niliiona ila niliona kama ina walakini hivi. All in all, popote alipo yuko kwenye hali mbaya sana. Nina uhakika hata unyasi ukidondoka kwenye bati la nyumba aliyopo ni lazima anajamba. Unajua utawala wa sasa umeamua kumpa adhabu mbaya sana i.e. wanamwacha afe kwa kiroho na wasiwasi. Muda wote ana wasiwasi, hajui ni nini kitafuata kesho yake.
😅😅😅atajijuaHata mimi niliiona ila niliona kama ina walakini hivi. All in all, popote alipo yuko kwenye hali mbaya sana. Nina uhakika hata unyasi ukidondoka kwenye bati la nyumba aliyopo ni lazima anajamba. Unajua utawala wa sasa umeamua kumpa adhabu mbaya sana i.e. wanamwacha afe kwa kiroho na wasiwasi. Muda wote ana wasiwasi, hajui ni nini kitafuata kesho yake.
Lakini mlimuunga mkono. Sema sasahivi ndio mnapata akili. Wakati ule mlikuwa hamuambiwi kitu.Huyu Jamaa kwa maoni yangu alichangia sana kumchonganisha Hayati Rais wetu JPM na watu waliopaswa kuwa Watetezi wake
Huyu Jamaa kwa maoni yangu alichangia sana kumchonganisha Hayati Rais wetu JPM na watu waliopaswa kuwa Watetezi wake
Unamdai?Ndugu wadau
Wote tunamkumbuka ndugu Musiba alivyokuwa mzungumzaji enzi za Mwendazake. Enzi za Mwendazake Musiba alikuwa Katibu Msaidizi wa Bashiru Ally, Msaidizi wa Katibu mwenezi wa Polepole. Tangu Mwendazake aende na Ndugu Membe kumpeleka mahakamani kwamba alimchafua.
Huyu nguli Yuko wapi maaana Kawa kimya sana na Wala Yale magazeti yake ya Tanzanite yamekuwa adimu sanaaa'
Ww soldier unataka kumuua musiba yule mwehu wa mwendazake?ombea hirizi ipotee ila sio mganga afe