Nawe unahangika na maneno ya taarabu badala ya kuwa analytical. Nchi hii ni waziri gani aliwahi fanikiwa ktk kilimo zaidi ya Profesa Machunda? Huyu Bashe anayeishia kununua pikipiki ili apate 10% ndo unaona anasaidia kilimo! Waliposhindwa CRDB na kilimo kwanza yeye analeta mradi mwingine wa BBT!
Tunajua lengo ni kupiga pesa ya mwarabu, tunayeambiwa ni mwekezaji mkubwa atakayezungukwa na vijana wa BBT kama manamba! Ndo hicho unachotaka nchi hii ktk kilimo?