Kitimoto
JF-Expert Member
- Aug 25, 2012
- 8,190
- 9,874
Kafariki kwa mara ya 2!DK Buberwa kafariki ...nime mix na Yule jamaa wa Dental formula
Kafariki kwa mara ya 2!DK Buberwa kafariki ...nime mix na Yule jamaa wa Dental formula
Rest In PeaceKafariki kwa mara ya 2!
Kweli kafariki Dunia. Binafsi kesho kutwa naelekea Bwanjai msibani.Kafariki dunia
Yuko mortuaryToka aliposhindwa vibaya kwenye kura za maoni kwenye uchaguzi wa 2020 jimbo la Nkege hajawahi kuonekana tena sijui kajichimbia wapi?