secretarybird JF-Expert Member Joined Aug 22, 2024 Posts 21,075 Reaction score 42,884 Jan 27, 2026 #21 cocastic said: Nawe pia. Click to expand... 🔥.
makaveli10 JF-Expert Member Joined Mar 27, 2013 Posts 37,430 Reaction score 108,441 Jan 27, 2026 #22 Yule mjanja mjanja tu, usikute nae ikunja mpunga na kumuuza nduguye... Alijiita kanali, nikamtoa akili aliposema ndugu yake ana chip mwilini, nikaona hapa labda awe ni sungusungu
Yule mjanja mjanja tu, usikute nae ikunja mpunga na kumuuza nduguye... Alijiita kanali, nikamtoa akili aliposema ndugu yake ana chip mwilini, nikaona hapa labda awe ni sungusungu
Bosco Ntaganda JF-Expert Member Joined Jan 25, 2012 Posts 1,558 Reaction score 1,856 Jan 27, 2026 #23 We Mjinga, hujiulizi ni kwanini Rais wako BATILI anaishi mafichoni hadi sasa?
J Janja weed JF-Expert Member Joined Nov 20, 2020 Posts 3,470 Reaction score 6,180 Jan 27, 2026 #24 Atakua kaliwa kichwa na yeye usicheze kabisa na Yezebel ni shidaaa kwa ufupi.
T Timerlane JF-Expert Member Joined Aug 11, 2022 Posts 2,339 Reaction score 4,319 Jan 27, 2026 #25 Ndivyo ilivyo, unachofanyia wenzako kuna uwezekano na wewe kikakukuta kama hicho, wakati mwingine kuna watu unawaacha Tu mambo yaende kama yalivyo bila kupiga kelele.
Ndivyo ilivyo, unachofanyia wenzako kuna uwezekano na wewe kikakukuta kama hicho, wakati mwingine kuna watu unawaacha Tu mambo yaende kama yalivyo bila kupiga kelele.