KakaKiiza
Platinum Member
- Feb 16, 2010
- 11,952
- 9,468
Kuna habari kwamba ile show room ya magari pale Shoppers plaz ijulikanayo Yuasa Auto impex inauhusiano na Riz1 Je hayo ni maneno ya ukweli??Mwenye Data kamili atushushie maana yeye kasema anamiliki shamba na Kagari kamoja na Account ya crdb ambayo hajui inashilingi ngapi!!!