Jinsi China inavyoidai Marekani matrilioni ya dola

Lycaon pictus

JF-Expert Member
Joined
Jan 31, 2021
Posts
11,929
Reaction score
21,254
Nadhani umesikia kuwa China inaidai Marekani pesa nyingi sana. Deni lao lipo hivi. China ni muuzaji namba moja wa bidhaa duniani. Na vitu hivyo anaviuza kwa dola.

Mfanyabiashara wa China akiuza vitu labda huku Africa, sisi tunamlipa kwa dola. Dola hizo zinaingia benki kuu ya China. China wao wanampatia mfanyabiashara huyo Yuan(Renmbi). Siku mfanyabiashara huyo akitaka kuagiza vitu nje ya nchi. Anaenda benki na kupeleka Yuan kisha anapewa dola za kuagiza vitu huko nje. Mtindo huu unaendelea kila siku kila mwaka.

Kwa sababu China anauza kuliko anavyonunua, basi kila siku dola anazoingiza kutokana na kuuza zinazidi zile anazotoa kwenda kununua vitu nje. Polepole akiba yake ya dola inaongezeka. Leo hii China ana akiba ya dola ya trilioni 3.2. ndiyo akiba kubwa kabisa duniani. Zamani pesa zilikuwa backed na dhahabu. Mchina ambacho angefanya ni kumpelekea Mmarekani hizo dola trilioni 3.2 na kupewa dhahabu za thamani hiyo. Na deni lingekuwa hapo, kwamba mchina anamdai Mmarekani dhahabu za trilioni 3.2. Lakini leo pesa ni makaratasi tu. Deni analodai ni la kinadharia tu. Ikitokea dola imeanguka leo mchina anabaki na makaratasi. Ikitokea US amefreeze reserve ya China au kutoa dola mpya, China anabaki na makaratasi ya kukokea moto. Kazi yote na bidhaa zote walizozalisha miaka na miaka inakuwa makaratasi matupu.

Ndiyo maana china anahitahidi kila awezavyo atoke kwenye mkwamo huu. Anatumia makampuni ya nchi yake kuwekeza pesa hizo sehemu mbalimbali duniani, anakopesha, anajenga mabandari, ananunua natural resources duniani kote, anawekeza kwenye mashirika ya fedha na kununua dhahabu kwa wingi.

Biashara na uchumi wa dunia uko rigged. Si rahisi kutoboa.
 
The Boy Wonder tunaomba mchango wako huku
 
Es
Or
Jj4 drjocr nde kkknjddrmilkfroxfrrrourii ok odiidrirkkliilidkioooonioirfkrr[emoji251][emoji251][emoji882][emoji1649][emoji525][emoji263][emoji260][emoji525][emoji529][emoji525][emoji3049][emoji490][emoji491][emoji490]ix[emoji1640][emoji1640][emoji345][emoji2424][emoji2425][emoji443][emoji443][emoji345][emoji351][emoji351][emoji345][emoji351][emoji525][emoji705][emoji705][emoji716][emoji716][emoji525][emoji443][emoji345][emoji351][emoji450][emoji702][emoji716][emoji702][emoji716][emoji202][emoji250][emoji1664][emoji702][emoji702][emoji446][emoji2425][emoji450][emoji702][emoji702][emoji702][emoji716][emoji716][emoji351]roorrokrkcriklkodjjekinzr
 
Sasa hapo imekuwaje ni deni? Kama pesa, anazo yeye mchina.

Je deni halisi la mchina kwa marekani ni kiasi gani?

Kwahiyo kusema mchina kuwa na trilioni 3.2 za marekani ni deni.. sijui wachumi kama wanaona deni, mie sioni deni kivyovyote vile.

Mchina amwambie oya mmarekani eeh.. nina trilioni 3.2 zako, njoo uzichukue na dhahabu!!? Haiingii akilini
 
Wakati mwingine deni linaweza kutumika kama njia ya kuhold power au kupunguza Kasi yako ya ukuaji wa kiuchumi......

Mfano wewe biashara yako ukiwa unakopesha sana haiwezi kuwa sawa na yule anayeuza keshi.......

NB
Mimi sio mtaalamu wa uchumi, huo ni mtazamo wangu tu
 
Umeelezea jinsi China inavyokusanya dola kutoka nje through exportation.

Ujaonesha jinsi China inavyoidai marekani matrilioni ya dola.

Kama ni mwalimu na wewe ni mwanafunzi wangu wa uchumi nakupa F.
F tu basi?
 
Nadhani umesikia kuwa China inaidai Marekani pesa nyingi sana. Deni lao lipo hivi. China ni muuzaji namba moja wa bidhaa duniani. Na vitu hivyo anaviuza kwa dola.

Mfanyabiashara wa China akiuza vitu labda huku Africa, sisi tunamlipa kwa dola. Dola hizo zinaingia benki kuu ya China. China wao wanampatia mfanyabiashara huyo Yuan(Renmbi). Siku mfanyabiashara huyo akitaka kuagiza vitu nje ya nchi. Anaenda benki na kupeleka Yuan kisha anapewa dola za kuagiza vitu huko nje. Mtindo huu unaendelea kila siku kila mwaka.

Kwa sababu China anauza kuliko anavyonunua, basi kila siku dola anazoingiza kutokana na kuuza zinazidi zile anazotoa kwenda kununua vitu nje. Polepole akiba yake ya dola inaongezeka. Leo hii China ana akiba ya dola ya trilioni 3.2. ndiyo akiba kubwa kabisa duniani. Zamani pesa zilikuwa backed na dhahabu. Mchina ambacho angefanya ni kumpelekea Mmarekani hizo dola trilioni 3.2 na kupewa dhahabu za thamani hiyo. Na deni lingekuwa hapo, kwamba mchina anamdai Mmarekani dhahabu za trilioni 3.2. Lakini leo pesa ni makaratasi tu. Deni analodai ni la kinadharia tu. Ikitokea dola imeanguka leo mchina anabaki na makaratasi. Ikitokea US amefreeze reserve ya China au kutoa dola mpya, China anabaki na makaratasi ya kukokea moto. Kazi yote na bidhaa zote walizozalisha miaka na miaka inakuwa makaratasi matupu.

Ndiyo maana china anahitahidi kila awezavyo atoke kwenye mkwamo huu. Anatumia makampuni ya nchi yake kuwekeza pesa hizo sehemu mbalimbali duniani, anakopesha, anajenga mabandari, ananunua natural resources duniani kote, anawekeza kwenye mashirika ya fedha na kununua dhahabu kwa wingi.

Biashara na uchumi wa dunia uko rigged. Si rahisi kutoboa.
Ni kama Elon Musk anakopa kwa makampuni yake Spacex na Tesla na kupata faida na kurudisha lakini hela zake hagusi anafanya biashara na mkopo na anazidi kutajirika. Ndo maana wadau sisi shareholders wa Tesla tulikasirika wakati ananunua twitter tulitaka kujitoa.

Jamaa janja janja nyingi

Saint Anne
 
Umeelezea jinsi China inavyokusanya dola kutoka nje through exportation.

Ujaonesha jinsi China inavyoidai marekani matrilioni ya dola.

Kama ni mwalimu na wewe ni mwanafunzi wangu wa uchumi nakupa F.
Semenyaaaa kwa mikwara mbuzi tu.
 
Umeelezea jinsi China inavyokusanya dola kutoka nje through exportation.

Ujaonesha jinsi China inavyoidai marekani matrilioni ya dola.

Kama ni mwalimu na wewe ni mwanafunzi wangu wa uchumi nakupa F.
Amemaanisha Kwa zamani China angeenda kumpa Marekani hizo Dola alizonazo na kupewa dhahabu...
Hivyo ukiangalia hapo ni Sawa na China kuidai Marekani dhahabu za thamani hiyo. Ila ni amechukulia kwa Zamani ilivyokuwa.
 
Hiyo ni national reserves ambazo pesa za kigeni haswa dollar zinaweza kuwa kweny currency account ambayo nchi inatumia katika kufanya biashara na nyine nyingine.
Sema kuwa na hifadhi nzuri ya dollar inampelekea kufanya sarafu yake kuwa stable na yenye thamani hana haja ya kuagiza dollar tena maana anazo za kutosha.

.

China ana export sana sio kwamba kuwa na dollar nyingi ndio kumdai marekani ila inampa unafuu zaidi wa kufanya biashara.

Sisi Tanzania tu currency account deficit ambayo inapelekea kushindwa kufanya biashara na nchi nyingine kitu ambacho kinachangia sisi kuhitaji dollar kwa sana ,suala hili ndio hupelekea dollar kupanda na kushuka thamani kwa pesa yetu .
 
Ni kama Elon Musk anakopa kwa makampuni yake Spacex na Tesla na kupata faida na kurudisha lakini hela zake hagusi anafanya biashara na mkopo na anazidi kutajirika. Ndo maana wadau sisi shareholders wa Tesla tulikasirika wakati ananunua twitter tulitaka kujitoa.

Jamaa janja janja nyingi

Saint Anne
Jamaa anadunda tu ardhi ya Mola,janjajanja kama watu wa arts
 
Back
Top Bottom